Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Oktoba 28 inakaribia, ukweli utajulikana.Katika Maelezo yangu hapo ndani ya hiyo Sentensi kuna mahala popote pale nimetaja jina la Mgombea au Chama chake atokacho? Acha Kunikera!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oktoba 28 inakaribia, ukweli utajulikana.Katika Maelezo yangu hapo ndani ya hiyo Sentensi kuna mahala popote pale nimetaja jina la Mgombea au Chama chake atokacho? Acha Kunikera!!
Relax utakufa muda si wako sikia hii KETE YENU YA MWISHO NI KUMUIBIA KURA TU KAMA MLIVYOMFANYIA EL MAANA HAKUNA NAMNA NA BADO MDAHALO UNAANDALIWA HAIJAJULIKANA UTAKUWA KWA LUGHA IPI STAY TUNED.Huyu mgombea wa Chadema atapata hata kura laki mbili?
Hayo ndo makosa ya upinzani. Badala ya kusifia CHADEMA, munasifia Tundu Lissu. 2015 pia CCM waliona hawana soko wakaanza kusifu Magufuli. Alipita na ameamua kuifanya nchi na serikali ni mali yake. Je Lissu akipita ataongoza na nani wakati CHADEMA haisikiki?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.
Hapa ofisini ni jambajamba tu comrade, watu hatutizamani usoni!Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
RC amezuia shule kufunguliwa leoAchaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Hatuhusiki na hayo masualaMwambieni Lisu Kubenea kadakwa na pesa zake alizomtuma akachukue kenya
Jibu swali acha mbwembwe.Relax utakufa muda si wako sikia hii KETE YENU YA MWISHO NI KUMUIBIA KURA TU KAMA MLIVYOMFANYIA EL MAANA HAKUNA NAMNA NA BADO MDAHALO UNAANDALIWA HAIJAJULIKANA UTAKUWA KWA LUGHA IPI STAY TUNED.
Bila hela, wasanii Nani ataenda kirumba kusikiliza utopolo?Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Hatuhusiki huko mkuu
Zenu kama mchezo wa matàhira.Yaani kampeni za Chadema ni km vile mchezo wa watoto
Hako haumati km malori hakawezi kuzidi mafuriko ya Tundu Lissu.....Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Kwahiyo kila nyimba muna sema mumenunua ndege na kutengeza madarajaCcm inapiga kampeni nyumba kwa nyumba nyie endeleni kurusha kindege chenu kumfurahisha robertison wa Amsterdam ili awaongezee pesa
Mwambieni Lisu Kubenea kadakwa na pesa zake alizomtuma akachukue kenya
Usafiri wa bure wa kuingia town nani asingetaka kwenda???Achaneni na kibandamaiti angalieni TV kinachoendelea uwanja wa kirumba mwanza mjini .Kura tu za mwanza mjini zinatosha kumuweka raisi madarakani angalieni umati uliopo
Kwa hichi kimbunga na maafuriko yaliyotokea mwanza mpaka wengine kukosa nafasi naamini kabisa JPM anaenda kushinda kwa zaidi ya 80%Yaani kampeni za Chadema ni km vile mchezo wa watoto