Zanzibar 2020 Zanzibar: Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu (CHADEMA), afanya Mkutano Uwanja wa Kibandamaiti

Ya Zanzibar huyajui, Zanzibar ni vyama viwili tu, Alichokuwepo Maalim na CCM, ukiachilia chama alichokuwepo Maalim Seif, hakuna chama chengine ambacho kinaweza kukishinda CCM japo kwenye uwakilishi.
Subiria moto wa Tundu Lissu alafu urudi baadae....
Ccm haipo zenji tangu 2000
 
Azuiwe haraka! Anakwenda "kuchomoa betri" kuhusu Muungano. Leo ndio Magu atamjua Lisu ni nani!

Kaijage lazima aangushiwe jumba bovu baada ya uchaguzi, kwanini alimpa fomu na kisha kumpitisha!
"Kaijage lazima aangushiwe jumba bovu baada ya uchaguzi, kwanini alimpa fomu na kisha kumpitisha!"Nimecheka sanaaa.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.

=======
Kwa vile leo pia ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kinyama dhidi ya Lissu ,
View attachment 1561705
timu ya kampeni iliimba wimbo maalum wa kumtukuza Mungu kama shukrani kwa Uhai wa Tundu Lissu .

Jionee mwenyewe
Hamko serious ndio nini hiki? mumeshindwa kuandaa ibada ya shukurani kweli? nilitegemea leo mungekuwa st.joseph cathedral au kanisa kuu la Bikira Maria Dodoma, nilitegemea kumwona akitoa zaka na sadaka za shukurani, nilitegemea angefanya misa maalumu katika neo la tukio, huyu mtu namashaka kama ziko sawa,
 
Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Genta umepatwa na nini mkuu? Kweli huwa nakukubali japo mimi siko chama chako lakini naona unaanza kuja upande sahihi
 
Nadhani ulikuwa ni mmoja wa wale waliodhani Chadema IMESHAJIFIA baada ya juhudi mbali mbali za kidhalimu za huyo anayejiita KICHAA za kuzuia shughuli mbali mbali halali za Chadema na pia kuwabambikia kesi viongozi wa juu wa Chadema na wengine aliotaka kuwaua.

People’s POWERRRRRRRRR ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾

Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
 
Hamko serious ndio nini hiki? mumeshindwa kuandaa ibada ya shukurani kweli? nilitegemea leo mungekuwa st.joseph cathedral au kanisa kuu la Bikira Maria Dodoma, nilitegemea kumwona akitoa zaka na sadaka za shukurani, nilitegemea angefanya misa maalumu katika neo la tukio, huyu mtu namashaka kama ziko sawa,
Mpuuzi kabisa wewe sisi hatuchanganyi siasi na dini.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.

=======
Kwa vile leo pia ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kinyama dhidi ya Lissu , View attachment 1561410
View attachment 1561705
timu ya kampeni iliimba wimbo maalum wa kumtukuza Mungu kama shukrani kwa Uhai wa Tundu Lissu .

Jionee mwenyewe
Hivi hii ajenda ya risasi bado ipo,? mara alimiminiwsma risasi 16, mara 38 , mara 64 hata hamueleweki!! hakuna kura za huruma hapa!!
 
Lisu Ni yuda iskariote chadema Ni kizazi Cha [emoji216]
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuichagua tena hii Serikali ya WATEKA NYARA, mamia kwa maelfu wanakusanyika huko kupata BURUDANI YA WASANII tu. Kusitishwa kwa matamasha kwaajili ya COVID-19 kuliwaacha watu wengi katika lindi la upweke.
 
Ni vichaa peke yenu mnayeamini eti mwendawizimu mwenye faili mirembe anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii!! Lissu ni kichaa.Over.

Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....
 
Na kwenu machadema COVID 19 ilikwishaje?? maana mlijiweka karantini, ghafla mkawa walevi wa faru john mpaka mkavunja miguu, ghafla mnasema mnapata nyomi kwenye mikutano, ishu ya covid mmeshaisahau maana ilikua ni moja ya ajenda yenu!! ha ha ha tukiwaambia machadema hamna sera mnafanya siasa za matukio tu yatokanayo tayari inakua ajenda!! Lissu ni kichaa. Over.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.

Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.

=======
Kwa vile leo pia ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kinyama dhidi ya Lissu , View attachment 1561410
View attachment 1561705
timu ya kampeni iliimba wimbo maalum wa kumtukuza Mungu kama shukrani kwa Uhai wa Tundu Lissu .

Jionee mwenyewe
Yes, ni vema na haki kumshukuru Mungu wetu mwenye Rehema! Lisu yu hai!
 
Ni kichaa tu unaweza kupenda shetani huyo....
Tulishauri wagombea wapimwe akili kabla ya kuteuliwa na tume..... Oneni mgombea wenu anavoropoka km kichaa...
Tundu Lissu akili kubwa mzalendo wa kweli ndiye anayetakiwa na watz sio huyo nyampala Mshamba na limbukeni aliyeharibu nchi yetu nzuri.....
Lissu mzalendo anayetafutiwa urais na wazungu!! we uliona wapi mtu mwenye uraia wa ubelgiji anang'ang'ania kuwa Rais wa Tz? nani kampa hela? aliyemlipa anategemea kuvuna nini? kwa nini? halafu unasema Lissu mzalendo!! bora hata Hashim Rungwe! we Mtu anakuja kudai urais kwa maelekezo na ulinzi wq Robert Amstardam?? Hao wazungu wanataka nini? Lissu sio, hajawahi, hatakuja kuwa mzalendo, nani alisema tusiwadai wazungu gawio eti tutashitakiwa?? Lissu ni kichaa. Over.
 
Back
Top Bottom