Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia risasi zaidi ya 38 kwa lengo la kumuua ili kumridhisha shetani , hata hivyo Mungu alimfufua kutoka kwenye kifo baada ya shambulio hilo la kishamba kutoka kwa watu waoga walioshindwa hoja.
=======
Kwa vile leo pia ni siku ya kumbukumbu ya shambulio la kinyama dhidi ya Lissu ,
View attachment 1561705
timu ya kampeni iliimba wimbo maalum wa kumtukuza Mungu kama shukrani kwa Uhai wa Tundu Lissu .
Jionee mwenyewe