Huyu ni shoga maarufu mjini ungujaLabda WALINYEGESHWA!
Ila, kiuno cha KIUME, sijui kimewatesaje! Au, ni mwanamke. Lakini jina, la kiume. Bado, tunaambiwa alivaa MTANDIO! Huyo ni DUMEEE au JIKEEE?
Acha uongo mkuu.ila utalii umeharibu sana vijana was kizanzibar
Lakini matumizi ya huo mlango si ndiyo zao! Kuna RC mmoja aliwahi kutajwa kuwa anapitia huko mbona hawakumchulia hatuaMi nahisi huyo jamaa labda ni Shoga sasa wakaona wamtafutie namna ya kumshtaki,
Kosa ni nini?sasa Mwanaume alivaa mta'ndio na kukata uno kwanini asidakwe ? unatete nini hapo
Basi andamaneni mkiwa mmevaa hiyo mitandio viunoni mwenu, halafu mkakatike mbele ya hicho kituo cha polisi anakoshikiliwa huyo ndugu yenu.Nulla poena sine lege, no crime without a law.
Shida ni nani wa kumfunga paka kengele?Lakini matumizi ya huo mlango si ndiyo zao! Kuna RC mmoja aliwahi kutajwa kuwa anapitia huko mbona hawakumchulia hatua
🤣Shida ni nani wa kumfunga paka kengele?
Yaani kabisa mkuuumepasahau na Tabata mkuu, hayo maeneo ni hatari san kwa watoto wakiume.
KaribuHii kitu mbona kama jf tu mzee??
Kwakuwa ni nyumbani au 🤔Tukubali tu sehemu walizopita waarabu zina haya mambo sana yenye kuashiria ushoga ukiitoa Tabora.
Kuna kavideo chake miaka ya nyuma kidogo anahesabu shuka za kimasai..huku akimsifu basha'ake boda boda anajua kumtunzakwa watakaoomba picha,nimeweka hapo chiniView attachment 2186280
Islam is a barbaric religionZanzibar ni nchi ya kiislamu?
===
Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani.
Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko Kibole, Wilaya ya Kati, Kusini Unguja saa 11 jioni, ambapo mshitakiwa akiwa amevalia mtandio alicheza kwa kukata kiuno mbele ya hadhara jambo ambalo ni kosa kisheria.
Mshitakiwa huyo amepinga mashtaka hayo na kuiomba Mahakama kumpa dhamana kwa kuwa yupo kituo cha polisi siku nyingi.
Amri ya kupelekwa rumande imetolewa na Hakimu Safia Waziri, baada ya mshitakiwa kushindwa kutekeleza masharti ya dhamana ambayo yalimtaka kuwa na mdhamini mmoja ambaye atasaini bondi ya TZS 100,000 pamoja na barua zikiambatana na kopi ya kitambulisho cha Mzanzibar.
Mshitakiwa baada ya kushindwa kutekeleza masharti hayo, mahakama ilimuamuriwa kwenda rumande hadi Aprili 25, 2022 kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ushahidi.
Source: Swahilitimes