Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameandika MALCOM LUMUMBAJana nikiwa sehemu fulani nilisikia baadhi ya wasomi wakijadili mambo kadhaa hasa wakiitaja nchi iitwayo Zanzibar.
Kwa walio na ufahamu vizuri nitaomba msaada hapa. Kwa uelewa wangu, ili sehemu ya ardhi inayokaliwa na watu iitwe nchi(state), ni lazime pawepo na mambo yafuatayo:
1. Mipaka kamili inayotambulika kimataifa
2. Serikali
3. Watu na makazi
4. Iwe na uwezo wa kuingia makubaliano na nchi nyingine bila kuingiliwa au kuhitaji ruhusa kutoka sehemu nyingine.
Ikiwa sehemu inajitosheleza kwa mambo yote hayo manne basi, huitwa na kutambulika kama nchi.
Lakini sehemu hiyo (nchi) inaweza kupoteza sifa ya kuitwa nchi na jumuia za kimataifa kama:
1. Itaungana na nchi nyingine kutengeneza nchi au taifa moja
2. Itakubali kutawaliwa na nchi nyingine
3. Mipaka yake itamezwa na nchi nyingine
4. Itagawanyika katika sehemu ndogondogo zenye mamlaka kamili
Je, baada ya Zanzibar kuungana na Tanganyika na kuunda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bado Zanzibar inatambulika kama nchi? ni vigezo gani huifanya zanzibar kuitwa nchi?
Wanahitaji kutambulika kama nchi yenye mamlaka kamili nje ya muungano.zanzibar ni kama wilaya ya kinondoni
Zanzibar ni Nchi kamili , ina Rais wake , Wimbo wa Taifa na Katiba yake
Zanzibar Siyo Nchi
Kuna kipengele kwamba ili iwe nchi kamili, ni lazima itambuliwe na jumuia nyingine za kimataifa sambamba na kuwa na uakilishi UN.Zanzibar ni Nchi kamili , ina Rais wake , Wimbo wa Taifa na Katiba yake
*Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya 2010£Jana nikiwa sehemu fulani nilisikia baadhi ya wasomi wakijadili mambo kadhaa hasa wakiitaja nchi iitwayo Zanzibar.
Kwa walio na ufahamu vizuri nitaomba msaada hapa. Kwa uelewa wangu, ili sehemu ya ardhi inayokaliwa na watu iitwe nchi(state), ni lazime pawepo na mambo yafuatayo:
1. Mipaka kamili inayotambulika kimataifa
2. Serikali
3. Watu na makazi
4. Iwe na uwezo wa kuingia makubaliano na nchi nyingine bila kuingiliwa au kuhitaji ruhusa kutoka sehemu nyingine.
Ikiwa sehemu inajitosheleza kwa mambo yote hayo manne basi, huitwa na kutambulika kama nchi.
Lakini sehemu hiyo (nchi) inaweza kupoteza sifa ya kuitwa nchi na jumuia za kimataifa kama:
1. Itaungana na nchi nyingine kutengeneza nchi au taifa moja
2. Itakubali kutawaliwa na nchi nyingine
3. Mipaka yake itamezwa na nchi nyingine
4. Itagawanyika katika sehemu ndogondogo zenye mamlaka kamili
Je, baada ya Zanzibar kuungana na Tanganyika na kuunda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bado Zanzibar inatambulika kama nchi? ni vigezo gani huifanya zanzibar kuitwa nchi?
Kipengele kipi?Kuna kipengele kwamba ili iwe nchi kamili, ni lazima itambuliwe na jumuia nyingine za kimataifa sambamba na kuwa na uakilishi UN.
Inayo Ila kipo wazi hakijawahi kukaliwaJe, zanzibar ina uwakilishi umoja wa mataifa kama mwanachama?
Jana nikiwa sehemu fulani nilisikia baadhi ya wasomi wakijadili mambo kadhaa hasa wakiitaja nchi iitwayo Zanzibar.
Kwa walio na ufahamu vizuri nitaomba msaada hapa. Kwa uelewa wangu, ili sehemu ya ardhi inayokaliwa na watu iitwe nchi(state), ni lazime pawepo na mambo yafuatayo:
1. Mipaka kamili inayotambulika kimataifa
2. Serikali
3. Watu na makazi
4. Iwe na uwezo wa kuingia makubaliano na nchi nyingine bila kuingiliwa au kuhitaji ruhusa kutoka sehemu nyingine.
Ikiwa sehemu inajitosheleza kwa mambo yote hayo manne basi, huitwa na kutambulika kama nchi.
Lakini sehemu hiyo (nchi) inaweza kupoteza sifa ya kuitwa nchi na jumuia za kimataifa kama:
1. Itaungana na nchi nyingine kutengeneza nchi au taifa moja
2. Itakubali kutawaliwa na nchi nyingine
3. Mipaka yake itamezwa na nchi nyingine
4. Itagawanyika katika sehemu ndogondogo zenye mamlaka kamili
Je, baada ya Zanzibar kuungana na Tanganyika na kuunda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bado Zanzibar inatambulika kama nchi? ni vigezo gani huifanya zanzibar kuitwa nchi?
Kabla ya muungano, mataifa mawili ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar yalikuwa mataifa kamili, yakaungana kwa muungano wa union, na kuunda taifa jipya la JMT, hivyo mataifa yote mawili kupoteza utaifa wake, yaani sovereignty na sasa mataifa hayo yote mawili hayapo, dead and buried, kilichopo ni taifa jipya la JMT.Je, baada ya Zanzibar kuungana na Tanganyika na kuunda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bado Zanzibar inatambulika kama nchi? ni vigezo gani huifanya zanzibar kuitwa nchi?
Zanzibar haina sarafu na haina Jeshi.Ni nchi inakidhi vigezo vyote
Watu
Bunge
Mipaka
Jeshi
Sarafu
Wimbo wa taifa
Bendera
Rubbish.Hivyo Zanzibar sii nchi kimataifa, nchi ni moja tuu ya JMT, ila kitaifa, Zanzibar ni nchi ndani ya nchi.
Huu ndio uzuri mmoja wa JF, uelimishaji umma, huna haja ya hairs na kutokana watu humu, rubbish, bull crap, huu ni uwanja wa kuelimishana, muungano wetu ni unique haupo pengine popote duniani!, muungano wetu kimataifa tuu ndio muungano wa union uliounda nchi moja ya JMT, lakini kitaifa, muungano wetu sio union, ni federation yenye nchi mbili, katiba mbili, marais wawili, mabunge mawili, Mahakama mbili, nyimbo mbili za taifa, bendera mbili, majeshi mawili, sarafu ndio moja. Tofauti pekee kati ya nchi hizi mbili ni moja ndio yenye sovereignty na nyingine haina.Rubbish.
Hayo ni maelezo yaliyotolewa bungeni na douchebag mmoja aliyeamua iwe hivyo. Na wewe unameza tu kama sponge bila kuzingatia sheria, katiba na hati ya muungano zinasemaje.
Duniani hakuna nchi ya kitaifa na ya kitaifa. That"s bull crap.
Shukran sana kwa ufafanuzi mzuri.Kabla ya muungano, mataifa mawili ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar yalikuwa mataifa kamili, yakaungana kwa muungano wa union, na kuunda taifa jipya la JMT, hivyo mataifa yote mawili kupoteza utaifa wake, yaani sovereignty na sasa mataifa hayo yote mawili hayapo, dead and buried, kilichopo ni taifa jipya la JMT.
Ila kitaifa muungano wetu ni muungano wa federation, wenye two federal states, Tanzania Bara, iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Hivyo kimataifa Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT, ila kitaifa Zanzibar ni nchi, yenye eneo lake, mipaka yake, serikali yake, rais wake, Bunge lake, Mahakama yake, bendera yake, wimbo wake wa taifa, taifa na raia wake waitwao wakaazi, pia ina majeshi yake ya KMKM, JKU na vikosi vya SMZ na kuhesabika ni nchi ya Zanzibar ambayo ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT.
Hivyo Zanzibar sii nchi kimataifa, nchi ni moja tuu ya JMT, ila kitaifa, Zanzibar ni nchi ndani ya nchi.
P
Tuelimishane mkuu.Rubbish.
Hayo ni maelezo yaliyotolewa bungeni na douchebag mmoja aliyeamua iwe hivyo. Na wewe unameza tu kama sponge bila kuzingatia sheria, katiba na hati ya muungano zinasemaje.
Duniani hakuna nchi ya kitaifa na ya kitaifa. That"s bull crap.
Hili swali lilishajibiwa miaka mingi iliyopita vinginevyo uzi huu ni kujaza nafasi bila umuhimu. Uondolee mbaliJana nikiwa sehemu fulani nilisikia baadhi ya wasomi wakijadili mambo kadhaa hasa wakiitaja nchi iitwayo Zanzibar.
Kwa walio na ufahamu vizuri nitaomba msaada hapa. Kwa uelewa wangu, ili sehemu ya ardhi inayokaliwa na watu iitwe nchi(state), ni lazime pawepo na mambo yafuatayo:
1. Mipaka kamili inayotambulika kimataifa
2. Serikali
3. Watu na makazi
4. Iwe na uwezo wa kuingia makubaliano na nchi nyingine bila kuingiliwa au kuhitaji ruhusa kutoka sehemu nyingine.
Ikiwa sehemu inajitosheleza kwa mambo yote hayo manne basi, huitwa na kutambulika kama nchi.
Lakini sehemu hiyo (nchi) inaweza kupoteza sifa ya kuitwa nchi na jumuia za kimataifa kama:
1. Itaungana na nchi nyingine kutengeneza nchi au taifa moja
2. Itakubali kutawaliwa na nchi nyingine
3. Mipaka yake itamezwa na nchi nyingine
4. Itagawanyika katika sehemu ndogondogo zenye mamlaka kamili
Je, baada ya Zanzibar kuungana na Tanganyika na kuunda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bado Zanzibar inatambulika kama nchi? ni vigezo gani huifanya zanzibar kuitwa nchi?
Ikiwa lilijibiwa na bado watu hawajaelewa basi kuna haja ya kurudia mara nyingi na huko ndiko kujifunza.Hili swali lilishajibiwa miaka mingi iliyopita vinginevyo uzi huu ni kujaza nafasi bila umuhimu. Uondolee mbali
Mipango hiyo inaendelea , na hata code ya namba ya simu yao siyo +255 , wao yao ni +259Kuna kipengele kwamba ili iwe nchi kamili, ni lazima itambuliwe na jumuia nyingine za kimataifa sambamba na kuwa na uakilishi UN.