Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Utamaduni upi Zanzibar au ule aliouleta mkoloni wa kiarabu?????Hao wachaga tutawatimua warudi bara ndio wanachangia kuharibu utamaduni wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamaduni upi Zanzibar au ule aliouleta mkoloni wa kiarabu?????Hao wachaga tutawatimua warudi bara ndio wanachangia kuharibu utamaduni wetu
Mdogo wangu hivi Zanzibar kabla hajaja mkoloni wa kiarabu tulikua tunafuata maagizo ya nani?????Kufuata maagizo ya Allah na utalii ni kipi cha muhimu zaidi?
Unajua maana ya neno USTA-ARABU na neno KUST-ARABIKA????Mdogo wangu????NA STONE AGE UNAZINGUMIZIA YA UPANDE UPI DUNIANI????MAANA DUNIA KUBWA MDOGO WANGUKutembea uchi na kuzini hovyo ndio tabia za stone age, mwanadamu alipostaarabika ndio akaanza kuvaa kwa stara na kufunga ndoa
goma la msewe kama la kwetu Wete Pemba
Wewe kama hunywi pombe au huli mbususu acha wengine wazichakate,usilazimishe tabia zenu za stone age kwa watu wastaarabu, au sepa kaishi na wenzako wa Talebans mkatane mikono vizuri
Mdogo wangu unajua asili ya kuvaa kama ninja ilipoanzia???Unazijua vizuri jamii za waarabu wanaoishi jangwani kabla hata dini hazijaingia????TATIZO LENU MNACHANGANYA UTAMADUNI NA DINIKuvaa kwa stara ndio kuvaa kama Ninja? Nchi isiyokuwa na maadilii ni nchi iliyooza
Kuvaa kwa stara ndio kuvaa kama Ninja? Nchi isiyokuwa na maadilii ni nchi iliyooza
tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Kabla ya April 1964 vyakula tulikuwa tunatoa wapi? Na hata kama tunatoa bara si tunanunua kwa fedha zetu kama biashara nyingine?Mchele mtatoa wapi na viazi vya chips alafu nimesahau na umeme.
bado na lengine bajeti ya serikali inayotoka bara pamoja na waajiliwa znz kuja bara.
Daah nilisota sio poa. Siku ya mwisho ndio jamaa yangu akaja akanipeleka sehem moja panaitwa BoT club ndio nikaona uhai wa kibongobongo na madanga kama kawaida😂😂😂Siku nyingine tucheki tukupe direction I mean link up bro!!!
Leo hii uko Dini ilikoanzia wamefuta kodi ya Pombe na akuna tena police kusumbuwa waleviNchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Kabla ya April 1964 vyakula tulikuwa tunatoa wapi? Na hata kama tunatoa bara si tunanunua kwa fedha zetu kama biashara nyingine?
Mkifanya hivyo, Zanzibar itakuwa kama Saudia.Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni muda sasa wa Zanzibar kuweka heshima ya ustaarabu wetu tupige marufuku bar zote na TV zinazopiga nyimbo za nusu uchi.
Tofautisha unafiki na ucha Mungu.Kufuata maagizo ya Allah na utalii ni kipi cha muhimu zaidi?
Lail noor MaisaraCc:
CCM Social Hall
Nyerere Rd
Zanzibar