Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
Aja..yaakheee...!!!...Unguja haji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aja..yaakheee...!!!...Unguja haji?
Subiria siku atakapotoa au kuisoma hotuba zake kwa kidhungu, utazipenda. Kiengereza chake ndio kinapendeza, ni lugha mama nambari mbili kwa mkulu.Naukubali sana utendaji wa Rais wangu Magufuli ,
Ila ananiangusha sehemu moja tu napo ni kwenye hotuba zake , kwa jicho la tatu uwa hazivutii kabisaa, hazifanani na kiwango chake cha elimu
Kiongozi wa nchi analipuka kama mwehu! Shame!!
Kwani alisema tufyatue watoto au alisema tufyatuane? Au wewe huoni tofauti ya misemo hiyo miwili?Mimi kufyatua watoto nimeichukulia siriazi kabisa ninaifanyia kazi maana ule haukuwa utani ile ni kazi ya watu wazima wote
Nilivyo muelewa mimi ni kaongea kinyume chake ,kwani Milioni 7 mchezo ?Mtu akielewa hii mada anihadithie
Ha ha ha ha ha haaa, uzazi wa mpango walitubania sana eeh?Mimi kufyatua watoto nimeichukulia siriazi kabisa ninaifanyia kazi maana ule haukuwa utani ile ni kazi ya watu wazima wote
Mm nkiwa mmoja wao, si upendi, natamani uvunjike hata leoMuungano wetu ndio umoja wetu. Adui zetu hawaupendi huu muungano. Tutaulinda muungano huu kwa nguvu zetu.
Ni PM mkuu nikuhadithieMtu akielewa hii mada anihadithie