Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Swadakta zanzibar ni nchi ya kiislamu lazima isimamie misingi ya dini ya kiislamu ngoja wanaofungisha ndoa za jinsia moja kanisani na kuvaa nusu uchi wakienda kuabudu na wanakula mnyama mwenye hedhi .
Hapo umewakusanya kwenye kijiwe cha kahawa huku unasindikizia kashata unaonekana mtu wa maana sana.
 
Nyie ambao sio makafiri kwanini mmeshindwa kuunda search engine yenu mnatumia google ya makafiri,au akili zenu ndio zimeishia kwenye kutukana tu?
Wakigombana nchini kwao wanakimbilia huko huko wanakosema kuna ushoga, ila hatuoni mashoga wakikimbilia kwenye uislam
 
Twende Kwa facts.... ubongo wa nyuma unaaffect Nini uwezo wa kufikiria??
Ndugu yangu nirudie tena. Kama huoni advantage ya ubongo na vile unaplay part kwenye ubongo wote kiujumla basi hakuna haja ya kuilaumu NECTA.
 
Hii ya utokua na division one ni kweli imeshawahi kutokea
 

Zanzibar asilimia zaidi ya 90 ni waisilamu.
 
Hapo ndio lile suala la cultural preservation linaposhika hatamu

Kwamba pamoja na kupenda utalii na mabadiliko bado watu wanatamani kutunza taratibu na tamaduni na mazoea ya jamii zao, hawatamani jamii yao kubadilika kabisa kitamaduni na kuwa jamii mpya ambayo haiendani na jamii yao wanavyoifahamu
 
Ndugu yangu nirudie tena. Kama huoni advantage ya ubongo na vile unaplay part kwenye ubongo wote kiujumla basi hakuna haja ya kuilaumu NECTA.
Polepole msomi... niambie ubongo wa nyuma unahusianaje Na thinking?? Bora hata ubongo wa kati
 
Bila fukwe na hoteli za kitalii..hakuna mji mbovu kama zenji..bora mtu ukaishi hata mafia huko ama chiwata...pamenyata sana.

Sema nink tunadumisha muungano

#MaendeleoHayanaChama
We mmakonde rudi kwenu
 
Hawa wazenji badala watumie nguvu kupambana na umaskini wao wanatumia nguvu kutetea na kufuata majini ya kiarabu.
 
[emoji28][emoji28] mkuu hii nchi yetu sote bara na visiwani acha tuenjoy.

#MaendeleoHayanaChama
Ni jambo dogo sana. Zanzibar wana utamaduni wao. Na huo ndio unaoitambulisha ile ni Zanzibar. Acheni uheshimiwe.
 
Swadakta zanzibar ni nchi ya kiislamu lazima isimamie misingi ya dini ya kiislamu ngoja wanaofungisha ndoa za jinsia moja kanisani na kuvaa nusu uchi wakienda kuabudu na wanakula mnyama mwenye hedhi .
Zanzibar sio nchi ya kiislamu ni nchi yenye waislamu wengi tuu. Nchi ya kiislam ni lazima ifuate sharia za kiislam kitu ambacho akiwezekani kwa sababu wapo ndani ya muungano ndio maana hata kujiunga OIC waligomewa.
 
Huijui zanzibar,nenda jengo la zrb ukapande lift.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…