Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Ni jambo dogo sana. Zanzibar wana utamaduni wao. Na huo ndio unaoitambulisha ile ni Zanzibar. Acheni uheshimiwe.
Shida sio utamaduni..shida ni unafiki wazungu wanakula na kutembea nusu uchi ndani ka kisiwa bila shida..ila wanajifanya kuwakazia wamatumbi wenzao..waanze kwanza kupiga marufuku na hotel zote za kitalii zisipike chakula mchana..ndio waje kwa wamatumbi wenzao..halafu hakuna mahali katiba imesema zenji ni secular.

#MaendeleoHayanaChama
 

Sasa kwanini wanang'ang'ania mkuu? mana wapo wengi sana kule
 
Wakristo tuliopo Zanzibar tunanyanyaswa kiukweli🙆 kanisani Anglican huwa wanapika, ngoja tuone kama watazuia na pale...
Yaani hata ndani ya chombo ni unyanyasaji tu, although kuna uwezekano wa kutenga maeneo si kulazimisha.
 
Hakuna mtanganyika mwenye akili timamu anaweza kwenda kuishi kwa wabaguzi uko visiwani

Wenzio wamefata fursa, nyinyi wengine ndio wale munaogopa kutolewa mafigo Arabuni 😂 😂 😂
 
Mliopo mjini mje mle kanisani Anglican hapa pako salama kabisa tunalindwa na askari kabisa 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…