RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Ivi Tanzania ipo kweli? Sa inakuwaje nchi moja sheria tofautitofauti, muungano wa huongo na kinafki , we need our tanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi Tanzania ipo kweli? Sa inakuwaje nchi moja sheria tofautitofauti, muungano wa huongo na kinafki , we need our tanganyika
Uroho wa kula hawajiamini, nikama ile ya mafarisayo kujionyesha kama wamefunga na kupiga pandaPoint ni kwamba kwa nini waislam wakifunga wanazuia na wengine kula migahawani? Kwani wakristo na kwaresma wamewazuia waislam kula hadharani?
Kwamba ZANZIBAR ni Muslims pekee wanaishi?
Wazanzibar wabaguzi saana Yani mtu akisikia wewe ni dini tofauti na yeye anakuona Kama hutoboi mbinguni na usikae nae karibu... Kafir mkubwa.
Wanamuona Mungu kama anawajua kwa majina kwa wao kuamua kuwa wasilamu.
Wanakera saana.
Ila sivo uislam unavyofundisha. Ni mtu mwenyewe machaguzi yake ya kuishi alivojichagulia. Ambayo hata kwa wenye dini nyengine yapo. Tunaona kesi nyingi mahakamani wanawake wanadai haki za wtt wao baada ya kutelekezwa na waume zao.Mnaoa wanawake wengi halafu mnazaa nao kisha mna watelekeza wao na watoto Yani muislam akishatoa talaka tu kwa mkewe hiyo talaka inawakumba mpaka watoto wasiyo kuwa na hatia Wana kosa huduma
Hi imani wanayo Wazanzibari wengi sana, kwamba kama sio ccm/muungano then Zanzibar ingekua kama sijui kama Qatar nk, ni moja kati ya imani ya kijinga sana, maendeleo hayaji tu kwasababu ya location uliopo, yanakuja kwasababu ya bidii ya watu husika. Nimeenda Zanzibar, almost kila mwaka naendaga kumpumzika huko, najua Unguja vizuri hadi kule mchangani; Tanzania hi, hakuna watu wavivu kama Wazanzibari, wale wote wanao uza hata nguo na vitu vingine kule pwani utakuta ni watu wa bara, wafanyakazi wa hotelini almost wote ni kutoka bara. Hakuna watu wavivu kama nyie. Hiyo Qatar ingekujaje na uvivu wenu? Sasa hivi Zanzibar pia inachangamka just because ina rais kutoka bara, angekua mla urojo kama nyie hata hiki kinacho fanyika kisingefanyika wala.
Swali la mwisho kwenu mnao amini kwamba Zanzibar ingeendelea kama Qatar; hivi visiwa vya Comoro, kijografia na kiutamaduni wana tofauti gani na Zanzabar? Kila kitu ni sawa, kitu pekee kilicho tofauti na nyie ni lugha tu, wao wanaongea Kifaransa while nyie ni waswahili na kingereza; Comoro ina maendeleo gani? Shule tu hamtaki kwenda!
Wazenji hawajui lishe wao asubuhi wanakula boflo na chai mchana wanakula ubwabwa na michuzi ya mimaji usiku hawali , ndiyo maana binti waki Zanzibar wanyonge hawaja nona hawa matako wamekondeana hawana mvuto
Sent using Jamii Forums mobile app
Andamaneni mpewe Zanzibar yenu halafu tuombe Mungu atupe uhai kama nyie hamtadisha kua masikini; nje ya utalii Zanzibar hakuna kingine. Nakupa mfano wa Comoro, mbona yenyewe haipo kama Qatar? Qatar haikua hapo ilipo kwasababu nyingine, ubunifu na mazingira bora na watu wenye bidii ya kufanya kazi. Mnashindwa nini kufanya hata leo!? Kuna mtu anawazuia?KUna Mengi ambayo huelewi ndio mana unaropokwa pumba kama hizo, Hulaumiki
Wajinga mno pamoja na kwamba ni serikal lkn wameshindwa kutambua uhuru wa mtu hivi iislam vishinda madrasa kichwani kumejaa upupu sasa funga yao inahusiana nn na issue za watu? #Shuwaaain
Andamaneni mpewe Zanzibar yenu halafu tuombe Mungu atupe uhai kama nyie hamtadisha kua masikini; nje ya utalii Zanzibar hakuna kingine. Nakupa mfano wa Comoro, mbona yenyewe haipo kama Qatar? Qatar haikua hapo ilipo kwasababu nyingine, ubunifu na mazingira bora na watu wenye bidii ya kufanya kazi. Mnashindwa nini kufanya hata leo!? Kuna mtu anawazuia?
Sawa..nawe kale karafuu tuonane nani atashiba.Uchumi wa kuishia kula ndizi kule uchagani na bukoba?
uchumi wa kunywa gembe kule Rombo?
uchumi wa kuishi maisha ya kukopa kopa?
uchumi wa kuwanyenyekea wenye nacho kma wamekuzaa?
Embu twambie ni uchumi gani huo?
Zenji kuna utalii gani..yale magofu ama.?wazungu wakija bongo baada ya kutalii huko serengeti na ngorongo ndio huenda zenji kupumzika kujiandaa na safari.Andamaneni mpewe Zanzibar yenu halafu tuombe Mungu atupe uhai kama nyie hamtadisha kua masikini; nje ya utalii Zanzibar hakuna kingine. Nakupa mfano wa Comoro, mbona yenyewe haipo kama Qatar? Qatar haikua hapo ilipo kwasababu nyingine, ubunifu na mazingira bora na watu wenye bidii ya kufanya kazi. Mnashindwa nini kufanya hata leo!? Kuna mtu anawazuia?
Haa ha ha ha, Seychelles na Mauritius hawa hawa ambao wacheza mpira wao wakijaga Dar wanashangaa maghorofa ya Kariakoo na posta? Dubai ina combination of issues bro, open up your minds, Dubai ni soko, Dubai wamewekeza hasa, kuna kila aina ya biashara pale and this is because of their leader(s) kua creatives, haijaendelea because of geographical location. Najaribu kumuonesha mtu yule ambaye alisema eti Zanzibar ikiachana na muungano itakua kama Qatar, it will not just happen because of the it's location, bidii, ubunifu na commitment, that's it na wanashindwa kufanya hivo hata sasa? Muungano unawazuia nini?Sasa mkuu huo utalii unauona ni jambo dogo? Hebu Tazama Seychelles, Mauritius na Dubai zilipo, ni utalii tu hakuna jengine.
kwakweli si haki kuzuia,na ubinafsi wa kiimani,nani kawambia kufungua ni kitu pekee cha kiimani?Kwahiyo ambao watakuwa hawafungi kwa wakati huo hawatakula
Haa ha ha ha, Seychelles na Mauritius hawa hawa ambao wacheza mpira wao wakijaga Dar wanashangaa maghorofa ya Kariakoo na posta? Dubai ina combination of issues bro, open up your minds, Dubai ni soko, Dubai wamewekeza hasa, kuna kila aina ya biashara pale and this is because of their leader(s) kua creatives, haijaendelea because of geographical location. Najaribu kumuonesha mtu yule ambaye alisema eti Zanzibar ikiachana na muungano itakua kama Qatar, it will not just happen because of the it's location, bidii, ubunifu na commitment, that's it na wanashindwa kufanya hivo hata sasa? Muungano unawazuia nini?