Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Point ni kwamba kwa nini waislam wakifunga wanazuia na wengine kula migahawani? Kwani wakristo na kwaresma wamewazuia waislam kula hadharani?
Uroho wa kula hawajiamini, nikama ile ya mafarisayo kujionyesha kama wamefunga na kupiga panda
 
USIFUNGE KAMA HULA HELA YA KULA AU HUNA CHAKULA.Inatakiwa chakula kiwepo ila umuoneshe mungu kwamba unaweza kujinyima kwa ajili yake.SEMA HAYA MA IMANI NI UPUUZI MTUPU YAANI.
 
Nafikiri kosa si la wala urojo,
Alietoa tamko alijua watu wake walivyo waroho na wasioweza kustahimili njaa pindi waonapo chochote cha kulika.
 
Wazanzibar wabaguzi saana Yani mtu akisikia wewe ni dini tofauti na yeye anakuona Kama hutoboi mbinguni na usikae nae karibu... Kafir mkubwa.

Wanamuona Mungu kama anawajua kwa majina kwa wao kuamua kuwa wasilamu.

Wanakera saana.

Akili ni ndogo,ukiwakuta wanavyozungumzia imani za upande mwingine vibaya utadhani wao ni malaika,na labda imani yao inawaruhusu kudhihaki wengine
Ila kikubwa wanachotakiwa kujifunza kutoka kwa hao wanaowadhihaki ni kwamba hawawajibu vibaya,husikiza na kuwaacha vivyo hivyo na ujinga wao
 
Mnaoa wanawake wengi halafu mnazaa nao kisha mna watelekeza wao na watoto Yani muislam akishatoa talaka tu kwa mkewe hiyo talaka inawakumba mpaka watoto wasiyo kuwa na hatia Wana kosa huduma
Ila sivo uislam unavyofundisha. Ni mtu mwenyewe machaguzi yake ya kuishi alivojichagulia. Ambayo hata kwa wenye dini nyengine yapo. Tunaona kesi nyingi mahakamani wanawake wanadai haki za wtt wao baada ya kutelekezwa na waume zao.

Na usisahau kuwa kila binaadam Ana mapungufu yake haijalishi yupo dini gani
 
Nilikuwa London Bar and Guest House Ubungo Maziwa, wamekuja jamaa wanne ni kama wametoka kule tunakojuana kwa vilemba vyetu inaonekana wametoka safari ya mbali, wamechoka, nahisi huenda hali ya maji haikuwa shwari, anyway, nimeona wamechukua vyumba, baadaye wakajumuika kutazama mpira kwenye meza zilizokaliwa na wanaokula tangu asubuhi, mchana, jioni na usiku.

Nilichoshangaa ni kuona zile meza zilikuwa na chupa za rangi mchanganyiko, kijani, brown na zingine kama zina maji ya dhahabu zenye shingo ndefu zilizovishwa napkins, nikajiuliza msimu huu mechi ni muhimu kuliko katazo la huko tulikotoka!!?
 
Hi imani wanayo Wazanzibari wengi sana, kwamba kama sio ccm/muungano then Zanzibar ingekua kama sijui kama Qatar nk, ni moja kati ya imani ya kijinga sana, maendeleo hayaji tu kwasababu ya location uliopo, yanakuja kwasababu ya bidii ya watu husika. Nimeenda Zanzibar, almost kila mwaka naendaga kumpumzika huko, najua Unguja vizuri hadi kule mchangani; Tanzania hi, hakuna watu wavivu kama Wazanzibari, wale wote wanao uza hata nguo na vitu vingine kule pwani utakuta ni watu wa bara, wafanyakazi wa hotelini almost wote ni kutoka bara. Hakuna watu wavivu kama nyie. Hiyo Qatar ingekujaje na uvivu wenu? Sasa hivi Zanzibar pia inachangamka just because ina rais kutoka bara, angekua mla urojo kama nyie hata hiki kinacho fanyika kisingefanyika wala.
Swali la mwisho kwenu mnao amini kwamba Zanzibar ingeendelea kama Qatar; hivi visiwa vya Comoro, kijografia na kiutamaduni wana tofauti gani na Zanzabar? Kila kitu ni sawa, kitu pekee kilicho tofauti na nyie ni lugha tu, wao wanaongea Kifaransa while nyie ni waswahili na kingereza; Comoro ina maendeleo gani? Shule tu hamtaki kwenda!

KUna Mengi ambayo huelewi ndio mana unaropokwa pumba kama hizo, Hulaumiki
 
KUna Mengi ambayo huelewi ndio mana unaropokwa pumba kama hizo, Hulaumiki
Andamaneni mpewe Zanzibar yenu halafu tuombe Mungu atupe uhai kama nyie hamtadisha kua masikini; nje ya utalii Zanzibar hakuna kingine. Nakupa mfano wa Comoro, mbona yenyewe haipo kama Qatar? Qatar haikua hapo ilipo kwasababu nyingine, ubunifu na mazingira bora na watu wenye bidii ya kufanya kazi. Mnashindwa nini kufanya hata leo!? Kuna mtu anawazuia?
 
Sasa mkuu huo utalii unauona ni jambo dogo? Hebu Tazama Seychelles, Mauritius na Dubai zilipo, ni utalii tu hakuna jengine.
 
Uchumi wa kuishia kula ndizi kule uchagani na bukoba?
uchumi wa kunywa gembe kule Rombo?
uchumi wa kuishi maisha ya kukopa kopa?
uchumi wa kuwanyenyekea wenye nacho kma wamekuzaa?

Embu twambie ni uchumi gani huo?
Sawa..nawe kale karafuu tuonane nani atashiba.

#MaendeleoHayanaChama
 
Andamaneni mpewe Zanzibar yenu halafu tuombe Mungu atupe uhai kama nyie hamtadisha kua masikini; nje ya utalii Zanzibar hakuna kingine. Nakupa mfano wa Comoro, mbona yenyewe haipo kama Qatar? Qatar haikua hapo ilipo kwasababu nyingine, ubunifu na mazingira bora na watu wenye bidii ya kufanya kazi. Mnashindwa nini kufanya hata leo!? Kuna mtu anawazuia?
Zenji kuna utalii gani..yale magofu ama.?wazungu wakija bongo baada ya kutalii huko serengeti na ngorongo ndio huenda zenji kupumzika kujiandaa na safari.

Huku wataliano wakiume wakifanya yao..

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa mkuu huo utalii unauona ni jambo dogo? Hebu Tazama Seychelles, Mauritius na Dubai zilipo, ni utalii tu hakuna jengine.
Haa ha ha ha, Seychelles na Mauritius hawa hawa ambao wacheza mpira wao wakijaga Dar wanashangaa maghorofa ya Kariakoo na posta? Dubai ina combination of issues bro, open up your minds, Dubai ni soko, Dubai wamewekeza hasa, kuna kila aina ya biashara pale and this is because of their leader(s) kua creatives, haijaendelea because of geographical location. Najaribu kumuonesha mtu yule ambaye alisema eti Zanzibar ikiachana na muungano itakua kama Qatar, it will not just happen because of the it's location, bidii, ubunifu na commitment, that's it na wanashindwa kufanya hivo hata sasa? Muungano unawazuia nini?
 
Inayowazuia ni CCM mkuu, CCM ndio inayoidumuza Zanzibar NA CCM ilishakataliwa zanzibr ila Nguvu ya muungano ndiyo inayoifanya CCM iendelee kutawala.
 
Back
Top Bottom