Zawadi gani umewahi kumpatia mchumba wako akafurahi?

Saa ni zawadi nzuri sana na yenye kumbukumbu.... hujakosea upo sahihi
 
Saa ni zawadi nzuri sana na yenye kumbukumbu.... hujakosea upo sahihi
Nimenunua saa ya bei ya kawaida ila ni ya kitofauti hata yeye hawezi kujua bei yake, mwanzo niliwaza hizi perfume nikaona naweza kumpelekea ikaleta tafsiri mbaya ukizingatia ni mtu ambae sina muda mrefu tangu nijuane nae.
 
1.Mnunulie Saa ya mkononi elfu 8 tu inatosha
2.Deodorant ya elfu 5
3. Chupi dozen 1 hapa inategemea na aina ila elfu 10 ni quality nzuri
4.Elfu 2 mnunulie Apple na maji makubwa
Jumla itakua 25,000.
Mmmmh mnatia chaka

Mie nilishapeleka zawadi sehemu nikaambiwa hizo situamiagi bora ungeniuliza mwenyewe au ungenipa hela... Toka siku mtu akiniambia.zawadi ni bora aseme yeye nn nimchukulie kama.zawadi na sio nikakurupuka kumchukulia
 
Kwa mchanganuo tu
1. Greeting Card (ya malavidafi) ni Tsh 2500 tu.
2. Maua Rose fresh yalofungwa vizuri kwenye transparent nailon Tsh 7500 tu.
3. Milk Chocolate bar ya size ya kati ni Tsh 12500 tu
4. Cake nzuri ilyopambwa rangi za kike ie pink nk yenye maandishi You set my heart on fire Flani bin flani ni Tsh 20,000 tu
5. Perfume ya simple tu achana na waturuki zina ni uvundo, perfume simpo yenye harufu isiyokera kama matunda si matunda nk, hapa napendekeza My DEAE BODY wild at kiss, huu unyunyu ni shida ..bei chee tu Tsh 7500.

Hapo mwamba umetumia 47,500.
Hiyo buku mbili na nusu, boda ya buku itamleta magetoni, buku itamrudisha kwao (jumla 2000), na wewe jipongeze kwa energy drink ya 500 😂 maanake wallah utakula mzigo sio hiyo si wakitoto😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…