Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

kwahiyo tufanye conclusion kwenye kikao cha Marekani kusuka mpango wa urusi na Ukraine kupigana we ulikwepo kwenye kikao.
 
Jamaa unaongea upupu kama mnywa gongo vile yaani ni kama vile huna ubongo how comes akili yako ifikiri kwamba mtu anayejilinda dhidi ya mvamizi ndie mkosaji na sio yule yule aliye mvamia mwenzie pathetic, alafu acha unafiki wa kujifanya wewe unawaapenda na kuwaonea huruma sana raia wa Ukrain alafu apo apo unasupport uvamizi wa nduli kubwa jinga Putin kwenye nchi huru ya wenzie kwanini aivamie nchi ambayo ni huru yenye haki zote za kujiamulia na kijichagulia yupi awe rafiki yupi awe adui yao kama ambavyo Russia ana haki iyo


Acha kuwa unaleta unafiki wa kijinga kwamba hutaki tujue kama wewe ni team Putin yaani unajifahya kuwa unaumia kwa madhira yanayowapata wananchi wa Ukrain lakini apo apo wala hutaki kuyasikia ama kuyaona maovu ya nduli rafiki yako Putin kwa kuivamia nchi iliyo huru kabisa kabisa kwa sheria zote za kimataifa aisee kweli si kila mtu ana utu
 
WTF is this all about? mkuu haya matusi yote kwa sababu ya ukraine na russia na mimi kutoa opinion yangu juu ya huo mgogoro au kuna kingine nyuma ya panzia labda nilikuchukulia mkeo?
Hivi nikikwambia wewe ndio huna akili utakataa?
Huu mfano wako na hii logic yako ni non sequitur na inaonesha jinsi gani akili yako ilivyo ndogo, maswala ya International relations wewe unaleta habari za kuvamiwa nyumbani?

Huna akili wewe badala ya kuleta hoja unaleta matusi na mimi sina muda wa kutukanana na wajinga mtandaoni kisa vita za wazungu ukizingatia silipwi.
Hivyo nakwambia grow the F up na ukiniquote tena leta hoja na something logical.
 
Sasa matusi ya nini badala ya kutumia hoja?
Hapana mimi sio mwehu ila bila shaka mwehu atakuwa mama yako mkuu.
Mimi nimetoa Opinion yangu kama haukubali nayo then nakwambia how about you stop suckin my Dik?

Mimi sipendi ligi za matusi.
Nitaendelea kukutolea lugha usiyoipenda kwa sababu wewe huna akili alafu ni.mnafiki mkubwa yaani wewe unajifanya unawaonea huruma wananchi wa Ukrain alafu muda huo huo macho yako hayataki kabosa kuyaona maovu ya Rafiki yako nduli Putin kwa kuivamia nchi huru ya wenzie ujinga huu na wala siwezi kuargue na wewe sababu akili yako haiko sawa
 
upumbav wake wa kujivamia?
 
Kumbe unalijua ilo sasa aliyekwambia pale juu uwaite wenzio hawana akili ni nani

Alafu kwa akili yako hii sina sababu yoyote ile ya kuargue na wewe kwa logic sababu akili yako haiko sawa
 
huna akili mkuu , kama nyerere alishindwa kukubali kupoteza Kagera , je unaezaj kusena kupoteza Majimbo matatu hain madhara? au mwenzet ni std 7 failure?
 
Sawasawa kabisa upo sahihi.
Ila wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?

Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
 
... Katiba za nchi haziko hivyo wewe; hata Katiba ya JMT hairuhusu Amiri Jeshi Mkuu ku-surrender nchi kwa nchi vamizi kasome Katiba uelewe.
sio timamu huyo
 
Huu mgogoro ukiisha urusi hatokuja kuijaribu tena Ukraine
 
huna akili mkuu , kama nyerere alishindwa kukubali kupoteza Kagera , je unaezaj kusena kupoteza Majimbo matatu hain madhara? au mwenzet ni std 7 failure?
Tofautisha miaka ya 1970 na 2022.
Bytheway nimeishia la tatu B mkuu.
 
sio timamu ww , yaan ulitaka baada ya kuvamiwa atulie kipigo kimuingie ? aikabidhi nchi kwa Urusi ? wkt wananchi waliikomboa tangu 2014
 
Sawasawa kabisa upo sahihi.
Ila wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?

Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
Sasa mkuu ngoja nukuulize kwanza kabisa, unaelewa maana ya Sovereingty state!!??
 
Tofautisha miaka ya 1970 na 2022.
Bytheway nimeishia la tatu B mkuu.
Duuh kwaiyo 1970 ndo watu walikuwa na haki ya kujilinda na kujichagulia marafiki , na 2022 watu apa duniani hawana tena haki iyo si ndiyo kwamba kwa vile sasa ni 2022 nchi yoyote apa duniani inaruhusiwa kuivamia nchi nyingime iliyo huru kisa tu Raisi wa nchi fulani kajiskia kufanya ivyo si ndio mkuu?
 
mjomba umelewa story za wapiga ramli wanaoiombea Usa Kuporomoka , USA hawana uwezo wa kutabir kuwa Urusi itakuja kuivamia Ukraine so wao wataisaidia Ukraine , kumbuka hatuja sikia lawama zozote kutoka Urusi za kufanyiwa mashambuliz kabla ya wao kuivamia Ukraine , so unaona kumbe ni mipango ya Urusi kuwalinda waasi wao baada ya kuona walikuwa wanakaribia kupoteza vita huko mashariki ya ukraine
 
sio timamu ww , yaan ulitaka baada ya kuvamiwa atulie kipigo kimuingie ? aikabidhi nchi kwa Urusi ? wkt wananchi waliikomboa tangu 2014
Yaani hawa jamaa mtu una kaa chini unawahangaaa akili yao na jinsi akili yao inavyoweza kureason mambo asee duuh lakini uyo uyo anaiunga mkono palestina kwa kupambana na Israel
 
Mkuu em ingia YouTube check hii
McCain,Lindsey Graham and Amy Klobochur in Ukraine

Hv watu ni wageni sana wa US,kwani US ndo msafi wa hii dunia?

Zelensky anatumika tuu
kwahiyo USA walijua ipo siku Urusi ataivamia Ukraine ? na alijuaje mpk kuweka ahadi ya kuisapoti Ukraine , kama ni hivyo basi nikuombe kukubali kuwa USA ipo mbali sana kijeshi kuliko Urusi , maana huyu marekani ana uwezo wa kumswitch mtu akafanya kama atakavyo si ndio ?
 
Ukifikiri nje ya box utaelewa! Zele ni puppet leader kama mlivyo wengi hapa Afrika! Mawazo yako yananifanya niamini na wewe ni miongoni mwa viongozi vibaraka wa magharibi!
tupe ushaidi mkuu wa maneno yako
 
Unamsifia mtu aliejificha huku wanachi wake wanakufa, na nchi inaangamizwa.
kati ya Putin na Zelewinsky nan kajificha ? Mwambie Putin atue ulingoni aone kama hajarambishwa mchanga , Putin ss hv anaishi kama simbirisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…