kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
JF imejaa matapeli ya kila aina wewe unajifanya unajuana na waziri shameful kabisaNimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu