Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
JF imejaa matapeli ya kila aina wewe unajifanya unajuana na waziri shameful kabisa
 
Kura za wizi ndiyo wananchi? Kilangila.
Hebu muache mheshimiwa rais amalizie kwaresima yake nyie wapagani mnaleta shida. Rais yuko kwenye mfunga wa kwaresima nyie na lucife wenu mnapiga kelele zisizo na staha. Rais ni chaguo la wananchi na wananchi ni sauti ya Mungu.
 
Back
Top Bottom