hivi mnaongeaga mkiwa na akilitimamu au mmelewa? hivi mnataka aongozeje ili mjue kuwa anaongoza nchi?hebu muacheni afanye kazi akikaa napo mtasema tu maana hamkosi ya kusemaHata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu.
Na sasa unatak wasifie kila kitu????Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!
Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.
Ukweli unauma....Fanya uende ugeni sehemu ukae zaidi ya muda uliokusudiwa uone utapewa hata vyombo uosheSilku hizi sijui nimekuwaje,
Ninachukia sana WATU wanaoongea sana kama CHIRIKU.
Watu wenye MAONI na hoja KWENYE kila kitu. I HATE THEM TO THE CORE
Sasa kama awamu iliyopita walisifia kila kitu, iweje awamu hii wakosoe na kupinga kila kitu?Na sasa unatak wasifie kila kitu????
Mwache mama apumzike. Ku deal na matatizo ya Watz on daily basis sio kazi ndogo. Ikiwezekana aongeze siku nyingine tatu za mapumziko this time kwenye visiwa vya Hawaii. Kule kule alikopenda kwenda Obama. 😀😀😀Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Wewe ndio unawachagulia cha kufanya au kutumia uhuru na utashi wao..???Sasa kama awamu iliyopita walisifia kila kitu, iweje awamu hii wakosoe na kupinga kila kitu?
Hivyo jibu ni ndiyo.
Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Mkuu,Hizo gharama zilizotumiwa kwa kila mmoja ni Mungu tu anajua, fedha nyingi zimeteketea.
Najiuliza alishindwa vipi kuondoka siku mbili kabla kupunguza hizo gharama?
Shuhuri gani za siri ambazo press hairuhusiwi Marekani zinazohusu nchi masikini ( shit hole country)?Wanaona na shugguli za Siri za sreikali?
Kubishana na mtu mwenye hasira baada ya kupokonywa tonge mdomoni, ni kupoteza tu muda.Wewe ndio unawachagulia cha kufanya au kutumia uhuru na utashi wao..???
Awamu iliyopita ulikosoa kila kitu kwa hiyo hii unaisifia kilakitu..???
Uko sahihi na inaweza zidi hapo kidogo…Wa chini sana anaweza akawa amevuta 6 million
Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!
Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.
Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Hata Chaltle mwendazake alikuwa akienda likizo na delegation kubwa.na kupokea wageni wa kimaTaifa hukohuko Chaltle ,Ndugu zangu,