Unaifahamu historia ya china vizuri kabla ya kuwa exporter mkubwa?Tembea nchi za wenzetu ujionee, tatizo mmezaliwa Mbalizi, mkakulia ilula na hata passport ya kusafiria huna, huwezi jua nchi za wenzetu wanaishije. Watanzania mnahisi tuko zama za ujamaa kwamba uchumi wetu ni wa state owned control. Tembeeni muone hata China huko wameingia mikataba mingi kuuza bidhaa zao nje ndio umeona maendeleo. Huwezi kuwa na bidhaa ukakaa nayo eti kisa mtu atakupita uzalishaji.
Kwenye ile mikataba hamna hata kitakachotekelekeza mkuu,wala tusiumize kichwaShida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao..
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe..
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!..
...mmmm, Taratibuu, Mkuu[emoji16] Kwani hii Gesi anawapa Bure ama anawauzia??Hilo liswahili lako limeshapigwa!
Chezea Kenyatta wewe!
He is a business-oriented politician, sio kama huyo kikongwe wa pwani.
Ndio maana wakenya wanamchekea usoni na kumzoza kisogoni maana wanajua wameshapata GOIGOI la kulichuna.
Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao..
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe..
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!..
Unatazama kwanza hicho unachokiuza ni kwa gharama ipi. Sio tu kwasababu hakina mahitaji kwa sasa basi ukamua kukitoa sadaka na ukasahau baadae.Aliyekufundisha uchumi kwamba unauza kitu nje ya nchi tu iwapo una "surplus" mwambie amekudanganya. Comparative advantage na monopolistic competition ndio msingi wa biashara ya kimataifa unaotumika sasa. Na ingekuwa hivyo usemavyo, basi dunia asingeweza kuishi mtu.
Hii gas unayozungumzia wewe haitoki hapa kwetu bali inatoka nje, ili tuwe na gas iyo unayosema inabidi kuwe na kiwanda cha ku compress hii gas yetu into liquid ndiyo iwekwe kwenye mitungi, kupata kiwanda cha kufanya hivyo inabidi uwe na si chini ya $25bn au $30bn, huo mpango wa kujenga hicho kiwanda ndio unaendelea maana muwekezaji keshapatikana km ambavyo wanatuambia.Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.
Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....
Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.
Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....
mkuu unafahamu kwamba currently hamna wateja wa gasi na mitambo ya kuchakata gesi inazalisha chini ya kiwango kinachotakiwa!? unafahamu pia kwamba mitambo hiyo ya gesi inachakaa/ kuliwa na kutu kwa speed ya 6G??? sasa kuna ubaya gani kutafuta wateja wengi zaidi wa gesi hata ikibidi kuvuka border? Hivi magufuli alivokua anasema baada ya mradi wa stiggler's kuisha TUTAANZA KUUZA UMEME NJE YA NCHI hukuona kwamba viwanda vya nje vingepata nishati ya kutosha na kuzalisha zaidi na kutuletea ushindani?? Au uchambuzi wako ndio ule wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha?? Jaribu kua unatumia akili sometimes..1.Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania..Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
Kwa hiyo Mkuu ni bora kuwa kama Hayati Jiwe?Waswahili hawa ni bure kabisa!
Si ajabu hizo ndio fikra za Bibi SASHA!
Ati "roho nzuri".
Ni bora uwe na roho mbaya kama ya shetani lakini uwe na uwezo wa kutetea maslahi ya nchi yako!
Sio kwa wakenya ninao wajua mimi...... Yaani wao wakuache wewe ukafungue biashara kwao kule..... Labda Uganda sio kenya.....UZI WA VILAZA HUU,WENYE POOR I.Q SHOULD BE IGNORED....!
*GES ITAUZWA KENYA
*UMEME TUTAUZA KENYA
*MAMA AMESISITIZA UJAZO WA KIBIASHARA
BAINA YA NCHI ZETU.
*KUONDOA MAKWAZO MIPAKANI
*KODI ZA MIPAKANI KUANGALIWA UPYA
*KAMATI ZA BIASHARA KUKUTANA MARA KWA MARA
*TWENDENI TUKAWEKEZE KENYA,SIONI UBAYA MOJA YA BANK ZETU KUFUNGUA TAWI KENYA KURAHISISHA BIASHARA ZA WATANZANIA KENYA KAMA WAO NA KCB YAO HAPA.A
Ameokoa wapi?Muacheni mama awajengee uchumi wenu maana kiongozi wa malaika alishauua. Mshukuruni Mungu amewaokoa huo uchumi wenu ulishaenda kuzimu. Hujasoma media za bongo huko kwamba soko la hisa la Dar limeanza kurejea hali yake.
Zipo nchi zinaletea misaada kila kukicha na wanaosaini makaratasi ili pesa zije kwetu ni wanawake.Mwanamke huongozwa na mwanaume!eti leo hi mwanamke anaongoza wanaume zaidi ya milion,kadili muda unavyozidi kwenda tutegemee kufeli zaidi
Anajua lakini kwasababu inatoka hapa ilitakiwa iuzwe bei ya chini Mkuu na sio bei iliyopo ambayo haina tofauti na ya Kenya/Uganda na ZambiaNahisi ajui
Kunya anye kuku akinya bata.....ndio zile zile presha wanazotaka kumpa huyu Mama kana kwamba hana washauri wenye kujua wanafanya nini.mkuu unafahamu kwamba currently hamna wateja wa gasi na mitambo ya kuchakata gesi inazalisha chini ya kiwango kinachotakiwa!? unafahamu pia kwamba mitambo hiyo ya gesi inachakaa/ kuliwa na kutu kwa speed ya 6G??? sasa kuna ubaya gani kutafuta wateja wengi zaidi wa gesi hata ikibidi kuvuka border? Hivi magufuli alivokua anasema baada ya mradi wa stiggler's kuisha TUTAANZA KUUZA UMEME NJE YA NCHI hukuona kwamba viwanda vya nje vingepata nishati ya kutosha na kuzalisha zaidi na kutuletea ushindani?? Au uchambuzi wako ndio ule wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha?? Jaribu kua unatumia akili sometimes..