Unaifahamu historia ya china vizuri kabla ya kuwa exporter mkubwa?Tembea nchi za wenzetu ujionee, tatizo mmezaliwa Mbalizi, mkakulia ilula na hata passport ya kusafiria huna, huwezi jua nchi za wenzetu wanaishije. Watanzania mnahisi tuko zama za ujamaa kwamba uchumi wetu ni wa state owned control. Tembeeni muone hata China huko wameingia mikataba mingi kuuza bidhaa zao nje ndio umeona maendeleo. Huwezi kuwa na bidhaa ukakaa nayo eti kisa mtu atakupita uzalishaji.