Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Tembea nchi za wenzetu ujionee, tatizo mmezaliwa Mbalizi, mkakulia ilula na hata passport ya kusafiria huna, huwezi jua nchi za wenzetu wanaishije. Watanzania mnahisi tuko zama za ujamaa kwamba uchumi wetu ni wa state owned control. Tembeeni muone hata China huko wameingia mikataba mingi kuuza bidhaa zao nje ndio umeona maendeleo. Huwezi kuwa na bidhaa ukakaa nayo eti kisa mtu atakupita uzalishaji.
Unaifahamu historia ya china vizuri kabla ya kuwa exporter mkubwa?
 
Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao..
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe..
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!..
Kwenye ile mikataba hamna hata kitakachotekelekeza mkuu,wala tusiumize kichwa
 
kama kawaida Watanznia sisi uwezo wetu mkubwa upo kwenye majungu na fitina hayo ndio tunayaweza.

Ujuaji mwingi!!..ulio kosa maarifa.

Piga kazi Rais wetu....watanzania wazalendo wapo pamoja na wewe.

Sasa tuna shuhudia Diplomasia yenye viwango vya kimataifa.

Diplomasia ktk nyanja zote, hakika tutafanikiwa.
 
Hilo liswahili lako limeshapigwa!

Chezea Kenyatta wewe!

He is a business-oriented politician, sio kama huyo kikongwe wa pwani.

Ndio maana wakenya wanamchekea usoni na kumzoza kisogoni maana wanajua wameshapata GOIGOI la kulichuna.
...mmmm, Taratibuu, Mkuu[emoji16] Kwani hii Gesi anawapa Bure ama anawauzia??
Si biashara pia hiyo?
 
Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao..
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe..
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!..
Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.

Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....
 
Aliyekufundisha uchumi kwamba unauza kitu nje ya nchi tu iwapo una "surplus" mwambie amekudanganya. Comparative advantage na monopolistic competition ndio msingi wa biashara ya kimataifa unaotumika sasa. Na ingekuwa hivyo usemavyo, basi dunia asingeweza kuishi mtu.
Unatazama kwanza hicho unachokiuza ni kwa gharama ipi. Sio tu kwasababu hakina mahitaji kwa sasa basi ukamua kukitoa sadaka na ukasahau baadae.

Gesi kwa sasa ni nishato nyeti sana kwetu sisi watanzania. Hatutakiwi kuigawa kama tunagawa njugu. Hebu fanya utabiri wa matumizi ya miaka ijayo ya nishati ya gesi kama chanzo cha nishati mbadala.

Mamilioni ya watz wanatumia kuni huko mikoani. Serikali inatakiwa kupiga kampeni na machapuo watu watumie gesi ili kushusha mahitaji ya kuni na mikaa ambayo huchangia uharibifu wa misitu ya asili.

Bado gesi hii hii tunahitaji kuendesha mitambo ya umeme na viwanda. Kuna uchafu mwingi sana na watu wasio wazuri wanahujumu sana flow nzuri ya mahitaji, matumizi na mchakato wa kupata gesi nchini kwa tija zao binafsi.

Hebu jaribu kuwazia 80% ya population ya mtanzania imeweza ku utilize gesi to the maximum?! Yaani tuweke utegemezi wa asilimia 100% kwenye nishati inayotokana na gesi asili.

Kwahiyo nasema kwenye hili la kugawa gesi basi serikali ina haja ya kujotathimini upya. Hatuwezi kushindwa kuja na mikakati rafiki itayotuwezesha kuitumia gesi kwa asilimia 100% katika taifa letu.
 
Kwanza imabidi ukumbuke mama ana lengo la gas kutumika ndani kwa manufaa ya wananchi. Mara kadhaa amesikika akisema kuwa kwanini mradi wa ujenzi wa LNG plant umechelewa.
Gas ikishakuwa liquidified bas itaweza kutumika kirahisi kwa matumizi mbalimbali.
Sioni shida kuwauzia wakenya gas, tuache uoga tujipange kushindana nao
 
Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.

Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....
Hii gas unayozungumzia wewe haitoki hapa kwetu bali inatoka nje, ili tuwe na gas iyo unayosema inabidi kuwe na kiwanda cha ku compress hii gas yetu into liquid ndiyo iwekwe kwenye mitungi, kupata kiwanda cha kufanya hivyo inabidi uwe na si chini ya $25bn au $30bn, huo mpango wa kujenga hicho kiwanda ndio unaendelea maana muwekezaji keshapatikana km ambavyo wanatuambia.

Sasa swali lng ni je ule mpango wa kutandaza mabomba kwa wananchi ili waweze kufaidika na gesi yao uliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.

Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....

MAGUFULI hakuwa ameweka mkazo katika suala hili na in short uchumi huu aliusahau kabisa kabisa
 
1.Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania..Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
mkuu unafahamu kwamba currently hamna wateja wa gasi na mitambo ya kuchakata gesi inazalisha chini ya kiwango kinachotakiwa!? unafahamu pia kwamba mitambo hiyo ya gesi inachakaa/ kuliwa na kutu kwa speed ya 6G??? sasa kuna ubaya gani kutafuta wateja wengi zaidi wa gesi hata ikibidi kuvuka border? Hivi magufuli alivokua anasema baada ya mradi wa stiggler's kuisha TUTAANZA KUUZA UMEME NJE YA NCHI hukuona kwamba viwanda vya nje vingepata nishati ya kutosha na kuzalisha zaidi na kutuletea ushindani?? Au uchambuzi wako ndio ule wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha?? Jaribu kua unatumia akili sometimes..
 
Waswahili hawa ni bure kabisa!

Si ajabu hizo ndio fikra za Bibi SASHA!

Ati "roho nzuri".

Ni bora uwe na roho mbaya kama ya shetani lakini uwe na uwezo wa kutetea maslahi ya nchi yako!
Kwa hiyo Mkuu ni bora kuwa kama Hayati Jiwe?
 
UZI WA VILAZA HUU,WENYE POOR I.Q SHOULD BE IGNORED....!
*GES ITAUZWA KENYA
*UMEME TUTAUZA KENYA
*MAMA AMESISITIZA UJAZO WA KIBIASHARA
BAINA YA NCHI ZETU.
*KUONDOA MAKWAZO MIPAKANI
*KODI ZA MIPAKANI KUANGALIWA UPYA
*KAMATI ZA BIASHARA KUKUTANA MARA KWA MARA
*TWENDENI TUKAWEKEZE KENYA,SIONI UBAYA MOJA YA BANK ZETU KUFUNGUA TAWI KENYA KURAHISISHA BIASHARA ZA WATANZANIA KENYA KAMA WAO NA KCB YAO HAPA.A
Sio kwa wakenya ninao wajua mimi...... Yaani wao wakuache wewe ukafungue biashara kwao kule..... Labda Uganda sio kenya.....
 
Muacheni mama awajengee uchumi wenu maana kiongozi wa malaika alishauua. Mshukuruni Mungu amewaokoa huo uchumi wenu ulishaenda kuzimu. Hujasoma media za bongo huko kwamba soko la hisa la Dar limeanza kurejea hali yake.
Ameokoa wapi?
 
Mwanamke huongozwa na mwanaume!eti leo hi mwanamke anaongoza wanaume zaidi ya milion,kadili muda unavyozidi kwenda tutegemee kufeli zaidi
Zipo nchi zinaletea misaada kila kukicha na wanaosaini makaratasi ili pesa zije kwetu ni wanawake.

Ujerumani inaongozwa na mama na kila siku misaada yao ndio inachangia bajeti zetu kuweza kutekeleza mipango yetu mingi.

Jiongeze kidogo tu kwa kutafuta habari kimataifa.
 
mkuu unafahamu kwamba currently hamna wateja wa gasi na mitambo ya kuchakata gesi inazalisha chini ya kiwango kinachotakiwa!? unafahamu pia kwamba mitambo hiyo ya gesi inachakaa/ kuliwa na kutu kwa speed ya 6G??? sasa kuna ubaya gani kutafuta wateja wengi zaidi wa gesi hata ikibidi kuvuka border? Hivi magufuli alivokua anasema baada ya mradi wa stiggler's kuisha TUTAANZA KUUZA UMEME NJE YA NCHI hukuona kwamba viwanda vya nje vingepata nishati ya kutosha na kuzalisha zaidi na kutuletea ushindani?? Au uchambuzi wako ndio ule wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha?? Jaribu kua unatumia akili sometimes..
Kunya anye kuku akinya bata.....ndio zile zile presha wanazotaka kumpa huyu Mama kana kwamba hana washauri wenye kujua wanafanya nini.
 
Back
Top Bottom