Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

Happy ndo mtu mweusi huuzwa!! Ni kama waliopewa goroli wakagawa maeneo. Hapo unaona umepata sana sio? Hakika ngozi nyeusi evolution yetu haijakamilika!
 
Shajara ya ziara hii muhimu :

13.02.2024

A Norwegian - Tanzanian Business Forum

State visit from Tanzania: His Royal Highness The Crown Prince and Her Excellency President Samia Suluhu Hassan visit a Norwegian – Tanzanian Business Forum at Næringslivets Hus in Oslo (16:00).

14.02.2024

Klimahuset​

State visit from Tanzania: His Royal Highness The Crown Prince and Her Excellency President Samia Suluhu Hassan attend the seminar “Tanzania-Norway collaboration on Climate and Food Security” at Klimahuset in Oslo (15:00).
 
Watu hawana umeme waangalie kwa Koroboi ?!!!

Ndio haya haya kuwa out of touch Marie-Antoinette's inasemekana huko France alivyoambiwa wananchi wanalalamika hawana mkate akasema waambie wale keki - Let them eat Cake....
 
Happy ndo mtu mweusi huuzwa!! Ni kama waliopewa goroli wakagawa maeneo. Hapo unaona umepata sana sio? Hakika ngozi nyeusi evolution yetu haijakamilika!
Umelenga mulemule, hao wa Norway wanafukuzia mradi wa gesi ya LNG plant huko kusini Mtwara na Lindi kwenye bahari. Wana kampuni ya Equinor iko inataka gesi. Lazima wampokee ili Mradi wa gesi ufufuke. Magu aliukataa huo mradi kabisa 🤣🤣
 
Mazingira ya Mikataba, Sera za kiuchumi ktk killimo na nishati , pia mahusiano kati ya Uongozi na uwekezaji za Tanzania zachambuliwa kwa undani

Tanzania - An East African Success Story ?
Key trend stories, In feb 2024 H.E President Samia Sukuhu Hassan will be hosting a business forum in Oslo Norway. Main discussion, why Tanzania is now more attractive to investors than before 2021? Also importantly the Gas LNG, Host Government Agreement HGA issues

View: https://m.youtube.com/watch?v=sbKXI4knhWY
On this episode of NABA Perspectives we discuss what's driving growth in Tanzania, how it can tackled economic headwinds, and why the country should be on the radar for investors. Our guests are Razia Khan, Head of Research for Africa, Middle East at Standard Chartered, and Sarah Baynton-Glen, Economist with Standard Chartered.
Source : Norwegian-African Business Association
 
Wanakupa heshima, wanakufungulia kiwanda cha kuku wa broiler nchini kwako ili mapunga yazaliwe kwa wingi kisha wanachukua gas na wananchi wako wanaendelea kutumia kuni na mkaa miaka nenda rudi na hapo nchi yako inageuka jangwa na kuwa gizani sababu hakuna umeme. Wanachukua madini yote na wananchi wanabaki kuamini kuwa hayo madini yanatumika kutengenezea vito vya thamani. Wananchi wanaendelea kutaabika kuhusu vyanzo vya maji huku nchi yako ikiwa na mito na maziwa mwishowe wanapata magonjwa ya mlipuko.
Baada ya hapo unarudi tena kwao wanakupa heshima ile ile km ya mwanzo; awamu hii unaenda kuomba msaada wakusaidie kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi, wasaidie nchi yako kupambana na malaria ba umasikini, na mwisho kabisa unachukua mkopo wa kukabiliana na mdororo wa nishati ambao utalipwa vizazi na vizazi na hizo hela unawapa Tanesco wanazitia mifukoni.
Nchi ngumu sana hii.
 
sukari inagonga 5500/- kwa kilo Mvuti Magetini huku, mama yuko nje anakula bata
sawa sawa
Una kiwango gani Cha elimu. Tanzania ni nchi isiyofungama na nchi yeyote . Jiongoze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…