Ziara yangu ofisi za JamiiForums

Ziara yangu ofisi za JamiiForums

Dkt. Dorothy Gwajima hongera sana kwa kujiunga nasi katika mtandao huu pendwa wa Tanzania, karibu sana

CCM oyeeee....!!
Gwajima oyeeee...!!
tuna Imani na wewe Tena mwakani 2025
 
Naomba kutumia kifungu cha sheria ya Tanzania ibara ya 6

Access to Information Act, 2016 (No. 6 of 2016).​

(1) Every person shall have the right of access to information which is under the control of information holders.
(2) The information holder shall, subject to the provisions of section 6 and any other written laws, make available to the public or, on request, to any person, information which is under his control.

Nataka kujua idadi ya waajiriwa wa JF kufuatana na maswali yafuatayo

Kuna waajiriwa wakristo wangapi?
Kuna waajiriwa waislamu wangapi?

Maxence Melo

1720806912121.png
 
View attachment 3040644
Uchizi unaanzaga hivihivi, siyo lazima uokote makopo.
 
Duuuh hii nchi inasafari ndefu sana. Mtu wa aina hii usitegemee hata siku moja atakuwa na mchango kwa taifa
 
Marais wa US wanajiunga na X na mitandao ya US, kwanini viongozi wa Tanzania hawajiungi JamiiForums kusikiliza na kupata mawazo ya wananchi?

Hata Rais ilibidi awe na account hapa, ndio maana halisi ya ku support vilivyo vyetu, kongole sana kwa Mh minister.
Nani kakwambia hawamo humu?
 
Hongera sana Dkt. Gwajima D. Sisi kama wanajukwaa tunafurahia sana na utendaji wako wa kazi, hasa uwazi, uadilifu na uwajibikaji.

Kwenye wizara yako kuna mambo mengi mazuri umeyafanya. Kwa andikao langu hili ningependa serikali kupitia wizara yako iangalie namna ya kuwalea walemavu wote nchini, yaani wenye ulemavu wote wapate ulezi maalumu wa serikali pale ambapo familia hazina uwezo.

Huwa najisikia unyonge sana ninapokutana na mlemavu omba omba. Nadhani tunaweza jifunza kwa nchi ka Sweden au Norway, katembelee Dkt utajifunza mfumo wao.
Sure, kuliko kulea wasanii wahuni wahuni kama Steve Nyerere na genge lake!.
 
Back
Top Bottom