ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nakuja tuongee vizuriSasa huna hela
Huna tako
Tukunyema
Aisee mng'ang'anie mchumba wako. Akikuacha huna soko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja tuongee vizuriSasa huna hela
Huna tako
Tukunyema
Aisee mng'ang'anie mchumba wako. Akikuacha huna soko.
Njoo chap.Nakuja tuongee vizuri
Mlivyo mazezeta kila sehemu mnaleta uchawa badala ya kumueleza changamoto, majitu ya hovyo kabisa.Unaupiga mwingi kama yule mkubwa wetu!
Uchizi unaanzaga hivihivi, siyo lazima uokote makopo.Naomba kutumia kifungu cha sheria ya Tanzania ibara ya 6
Access to Information Act, 2016 (No. 6 of 2016).
(1) Every person shall have the right of access to information which is under the control of information holders.
(2) The information holder shall, subject to the provisions of section 6 and any other written laws, make available to the public or, on request, to any person, information which is under his control.
Nataka kujua idadi ya waajiriwa wa JF kufuatana na maswali yafuatayo
Kuna waajiriwa wakristo wangapi?
Kuna waajiriwa waislamu wangapi?
Maxence Melo
View attachment 3040644
Yaani wewe jamaa dah!🤣🤣🤣🤣🤣Mh hongera Kwa kazi nzuri unayofanya!
Mama huyo binti aliesimama jirani yako(picha number tatu) ana nusu ya Moyo wangu na nusu iliyobaki kwangu yote inampenda yeye
Mh mjumbe harakati zako nimezielewa[emoji23][emoji23][emoji23]Ila Jf ina mudi visu mazeee.....[emoji13]
Mkuu naomba kazi hata ya office boy...[emoji4]
Maxence Melo
Naomba kutumia kifungu cha sheria ya Tanzania ibara ya 6
Access to Information Act, 2016 (No. 6 of 2016).
(1) Every person shall have the right of access to information which is under the control of information holders.
(2) The information holder shall, subject to the provisions of section 6 and any other written laws, make available to the public or, on request, to any person, information which is under his control.
Nataka kujua idadi ya waajiriwa wa JF kufuatana na maswali yafuatayo
Kuna waajiriwa wakristo wangapi?
Kuna waajiriwa waislamu wangapi?
Maxence Melo
View attachment 3040644
Hongera na wewe.Mlivyo mazezeta kila sehemu mnaleta uchawa badala ya kumueleza changamoto, majitu ya hovyo kabisa.
KwambaYaani wewe jamaa dah!🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu hawa viongozi wengi huwa hawajibu ni kupoteza muda tu kuwauliza maswali au kuwaeleza changamoto za wananchi.Mlivyo kila sehemu mnaleta uchawa badala ya kumueleza changamoto, majitu ya hovyo kabisa.
Anawaza kupiga watu ban huyo YingYang... Shupavu kweli huyo mwana 😒😏😏😏Nimemuona YinYang kwa pembeni pale amenuna balaa😕😕
Nani kakwambia hawamo humu?Marais wa US wanajiunga na X na mitandao ya US, kwanini viongozi wa Tanzania hawajiungi JamiiForums kusikiliza na kupata mawazo ya wananchi?
Hata Rais ilibidi awe na account hapa, ndio maana halisi ya ku support vilivyo vyetu, kongole sana kwa Mh minister.
Sure, kuliko kulea wasanii wahuni wahuni kama Steve Nyerere na genge lake!.Hongera sana Dkt. Gwajima D. Sisi kama wanajukwaa tunafurahia sana na utendaji wako wa kazi, hasa uwazi, uadilifu na uwajibikaji.
Kwenye wizara yako kuna mambo mengi mazuri umeyafanya. Kwa andikao langu hili ningependa serikali kupitia wizara yako iangalie namna ya kuwalea walemavu wote nchini, yaani wenye ulemavu wote wapate ulezi maalumu wa serikali pale ambapo familia hazina uwezo.
Huwa najisikia unyonge sana ninapokutana na mlemavu omba omba. Nadhani tunaweza jifunza kwa nchi ka Sweden au Norway, katembelee Dkt utajifunza mfumo wao.