Kwa wanaume sina cha kuongea ksb sina uzoefu wala ushahidi nako.
Ila kwa wasichana/wamama/wanawake/wabibi ninawaambie hakikisheni mnapanga muda wa kutokuvaa chupi hasa mkiwa mazingira salama,mfano nyumbani. Maumbile yetu ni kama ua au mti, yanahitaji hewa,mwanga,upepo kwa ustawi mzuri zaidi. Isiwe unayafunika siku 365/366, miwasho washo lazima itakusumbua ukifunika funika sana . Maumbile ya kike yanahitaji sana ,mwanga ,hewa safi na upepo murua mradi tu iwe ni sehemu salama...
Nyongeza Tusisahau kusahau kupiga pasi chupi zetu na ziwe Material ya pamba zenye rangi inayoonyesha.