Zijue faida kabambe za kulala mtupu/uchi wakati wa usiku

kulala uchi safi sana .. ila kwa mwanaume duh sishauri

kwa wanaume kwani inakuwaje miss chaga halafu kwa nini wasichana wengi hasa pande za dar wanapendelea kulala uchi bin uchi kama sio hivyo unakuta kajifunga kanga?
 
Last edited by a moderator:
ukiwa peke yako kitandani haki ya walahi hapatakucha ilo baridi ila kama upo na baby hapo sawa
 
hahha we mwakani humalizi, maana maombi nayopokea yanazid kuongezeka... so najua unachukua experience sa hizi

Haha inakuaje lakini hunishirikishi hayo maombi,mimi si ndo muhusika....
 
Una maana tano au.....bold. Pia hata ushauri wa kuvaa haishauriwi kuvaa nguo ya kubana mwili.

Tamatheo;
Usifikiri kama natania. Nunua kudu uifungie tena juu. Wakija wapoteze muda uwe umepiga kelele watu wa msaadamwaje kabla hawajaku nanihiino. Mambo ya washauri wa kidhungu achana nao. Sisi tunakupa ushauri wa kikwetu ili ulingane na mazingira
 

kwahyo kwa mazingira ya uswahilini haifai eeeh?
 
Ok me ngoja nianze leo nione km hizo faida nitazipata
 
Kulala uchi muhimu na vizuri sn hasa kwenu ninyi wadada.Ipumue jamani mnaificha sana mchana kutwa.
 
Baadae utatuambia tusihifunike mashuka
 

Kaka umenifanya nicheke kwa sauti huku kanisani almanusura chupa yangu ya bia ianguke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…