Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.
Kuna propaganda ambazo bado hazijakubalika na wanasayansi kuwa kupiga punyeto kutakufanya uwe punguani, nyingine eti utamea nywele kwa mkono na pia kuna propaganda kuwa ukitimia miaka fulani utaishiwa na nguvu za kufanya tendo la ngono. Kwa wanasayansi hio ni porojo.
Badala ya kuangalia madhara yake (hayajadhibitishwa) wanasayansi wameonelea kuangalia umuhimu wake.
Umuhimu wa kupiga punyeto
Kupiga punyeto kunaongeza nguvu mwilini
Imedhibitishwa kuwa kupiga punyeto mtu wakati anaposhusha hutoa homoni ijulikanayo kama cortisol ambayo wakati inapotolewa kwa kiwango kidogo huupatia mwili nguvu za kujikinga dhidi ya magonjwa.
Kupiga punyeto huondoa mgando (cramps) kwa wanawake
Imebainishwa kuwa badala ya wanawake kujichoma na maji ya moto wakati wameshikwa na cramps ni vyema na rahisi kwa mmoja kupiga punyeto kwani inarahisisha kusimamisha mgando huo
Kupiga punyeto kunakinga kutokana na kushikwa na kansa ya kibofu (prostate cancer)
Kupiga punyeto kunasaidia kuondoa na kusafisha sumu (toxins) zinazopatikana katika njia za mikojo (urogenital track) ambazo hufanya mtu kushikwa na magonjwa kama ya kansa. Wanasayansi wanadai kuwa kupiga [unyeto mara 3 kwa wiki kunapunguza uwezekano kwako kushikwa na ugonjwa huu wakati umetimia umri wa miaka 40.
Kupiga punyeto kunakupa manufaa ya kufurahia ngono
Punyeto humfanya mtu kujielewa mwenyewe pale ambapo anafahamu vyema kutampa furaha. Pia husaidia mtu kuufahamu mwili wake mwenyewe bila tatizo.
Kupiga punyeto kunakusaidia wewe kupata usingizi
Punyeto hupunguza kasi ya msukumo wa damu na pia kuna homoni ijulikanayo kama endorphins. Homoni hii inajulikana kumpa mtu utulifu na pia huondoa stress mwilini. Pia inajulikana kupatia mtu hisia nzuri.
Punyeto husaidia kuondoa magonjwa ya njia ya mkojo (urinary tracks infection)
Inajulikana kuwa punyeto husaidia kuondoa bacteria katika mlango wa uzazi wa mwanamke (cervix). Punyeto inafaa zaidi haswa kwa wale wanaokubwa na ugonjwa wa njia za mkojo.
Owk! nishakupa manufaa ya punyeto lakini sijakupa visababu kwa kujichafua sana....ukizidi sana
Nilianza kupiga punyeto mwaka 2007 nikiwa kidato na nimepiga kiasi Cha kutotaka uhusiano na msichana yeyote na Imefikia Hatua sioni Haja ya kua na msichana yeyote nilitafuta ushauri mwaka huu kutoka wadau mbali mbali wakanambia niwe na Msichana nikifanya ivyo but sisikii Raha kabisa nikiwa kitandani na msichana na Nina wiki moja tu tangu nianze mchakato huu nisaidueni tafadhali njia za kurudia kuwa kawaida kama zamani Ni tatizo na nasumbuka nalo Sana
Natamani kuwa kama wanaume wengine tafadhali nisaidueni
mara 3 kwa wiki kama vi
Too much masturbation effect penis size? | Penile Disorders discussions | Family Health center | SteadyHealth.comHichi chama kina watu wengi sana sema tu watu wanaiona aibu.
binafsi nijiunga hichi chama zaidi ya miaka 20 iliyopita na bado naendelea kuwa memba.
Kutokana na uzoefu nilionao wa miaka mingi katika hichi chama napinga baadhi ya point amabazo zimetolewa na memba wastaafu
1. Kuwa ukianza kujua K unasaahau CHAPUTA; hapa nakataa kwa herufi kubwa
2. Uume Kupungua.- hili pia napinga
Nisipinge tu ila pia kuna point nitazisapoti.
1. Kukuchelewesha katika ratiba zako
2. Inachangia kususia K
Zingine memba watasaidia
Fanya kurudi umalizie maelezo maana nimesoma mara mbili mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikua mwakilishi wa Chaputa kanda ya Pwani kabla ya kuhama Chama na Kuhamia Chama Cha Kupindua ili kuunga mkono juhudi za Raisi.
Nilianza kupanda mnazi kwa mkono mmoja nikiwa na miaka 12 na sikuacha mpaka nilivyojivua uanachama. Jamani Chaputa ni mbaya sana inatumia rasilimali zake kueneza uzushi kama ulioletwa na mleta uzi.
Puchu inadhalilisha sana, haijalishi upo wapi unaweza kushangaa umeanza kupanda mnazi bila kutaka, Mfano mshauri wetu wa Afrika ya Kati (Yule waziri wa Rwanda) alipiga puchu huku bendera ya nchi yake iko nyuma yake.
Pia kumbuka video ya Ronaldinho aliyokua anajichua.
Puchu ina vijimadhara vingi vingi ambavyo huwezi kudhania. Mfano
sasa hivi sioni vizuri.
Naweza kusex lakini nisimwage.
Nina uume legelege sana.
Uume wangu umepungua urefu sasa hivi ni inchi 2 na nilikua na inchi 3.
Puchu inaingilia ratiba zako. Mfano nahitajika darasani saa mbili, nimeamka saa 12 natumia nusu saa kujiuliza nipige puchu au nisipige, naanza kupiga puchu saa 12 :30 uume unakakamaa vizuri kabisa 12:40. Video ya X ninayoipenda naipata 12:47.
Naanza kuirusha rusha ili ije ile angle ninayoitaka mpaka saa 1:10. Natumia dakika 10 kumwaga.
Natumia dakika 20 kujifuta na kujutia nilichofanya.
Naenda kuoga saa 1:50. Natoka saa 2 kamili.
Nafika Mwalimu kashamaliza nusu ya kipindi au kipindi kimeisha kabisa.
Nitarudi
[emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hahaaaa uyo jamaa atakuwa ameacha kwelKuna jamaa angu o level yeye alikua akitaka kupiga puchu anavua nguo zote mnamfumania dom saa saba mchana yumo kwenye blanket
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daahKuna kipindi cha balehe nimepiga sana hiyo kitu mpaka nikiwa napita mtaani visabuni madukani vinaniita “shemeji shemeji”
Mkuu kwani hujaoa kwa magazijuto una miaka 30+, mi niliacha nilipooa sorry!, Technical, sikuacha ila nimebadilisha mtindo naipigia kwenye mtindi wa mama watoto....Siyo kweli Miaka 19 napiga Nyeto na hakuna upungufu wa nguvu za kiume watafiti hao waongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu kwa kumtombaa sanchoka kwa hisia[emoji23][emoji23]Updates wakuu ndo nimeamka muda huu aisee
Sent from my iPhone using JamiiForums