Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

Haya ndugu Salama,
Mnasemaga punyeto sio nzuri kabisa Mara inaharibu nguv za kiume, na mengne mengi ya namna hiyo

Sasa msomeni doctor hapo mpate faida za punyeto


(Hii kwa wale wa free basics. )

Punyeto inaweza kumsaidia mtu kuondoa mkazo (stress), kuboresha hali (mood), kumsaidia mtu kupata usingizi, huongeza umakini (concentration) na ufanisi katika tendo la ndoa n.k! #ElimikaWikiendi
 
Punyeto ni salama na ina faida nyingi. Kila mwanaume lijali anahitaji sex walau mara moja kwa wiki.
Inakoa uchumi, muda, unaweza sex kwa hisia na mwanamke yeyote muhimu picha yake.
Ni tulizo kwa walio mazingira magumu vitani, jela, shule,hata safari.
Inasaidia kupunguza sperms vinginevyo utachafua chupi,mashuka.
Inapunguza fedheha mwanaume kujiona mpweke,mnyonge akiona wadada asiowamudu , ni kuvuta picha tu bora wazungu watoke.
Ni salama hakuna maradhi ya kuambukiza.
Inasitiri maseja wengi na kulinda imani na nadhiri zao hakuna kuoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu six warudi mtaani shida Jana nashika simu ya mdogo angu naona INA Jf App nikasema mamaa wee, ila bado ajaweka I'd yake


Mkuu achana na nyeto Ohoo. Nikikutana na Dada zako mi napiga hata idadi ya mabao siikumbuki nakuta ananiambia yeye ili si LA nne?, alafu nikipiga nikishapiz na bonus juu yani uume unakua imara mpka .dk 5 nzima, hii ni kutokana na kutokujichua na kula vyakula kuntu


Ukitaka nyeto salama usijichue na mkono tafuta mbinu mbadala
 
Kwa taarifa hata wana ndoa wengi 90% wanavuta hisia wapo na mtu mwingine kabisa, tena mtu anaweza maliza bao moja kwa kuvuta hisia wanawake zaidi ya watatu.Similar na punyeto
 
Soma hapa wewe mpiga Punye....

If you are masturbating frequently then get ready to be physically as well as mentally unfit.

Physically you might begin to lower your immunity levels (easily catching cold and fever), weak eyesight, weak muscles, weak penis, stomach ache and a lot more. Even side effects may vary from person to person.

It has mental side effects as well. Your urge to masturbate will keep on rising, you would give prefrence to masturbating over any other activity in life, you would like to stay alone and play with your soldier instead of outings and in long terms one may end up in depression as well.

So, you must not focus on what are the side effects of masturbation, you should look at how one must masturbate and how many tkmes one should masturbate and what all are the practices that would help you stay healthy while masturbating.
 
Habari.

Naomba kushare nanyi faida hizi chache za punyeto.

Hakuna kitu kisicho na madhara sote tunajua hilo, ila unakitumiaje hicho kitu?. Hivyo hata punyeto ikitumiwa vizuri inayo faida nyingi kwa afya yako ya mwili na akili.

Kuna masomo machache juu ya faida ya kupiga punyeto, ripoti za utafiti na anecdotal zinaonyesha kwamba kuchochea ngono, pamoja na kuchochea kupitia punyeto, kunaweza kukusaidia:

°upunguza stress

°kuongeza mhemko

°inafanya mwili kuwa relaxed

°hutoa furaha hasa wakati wa kumaliza

°hupunguza maumivu ya viungo

°inafanya kujiskia raha iliyoje

°ngono salama kabisa

Wanandoa wanaweza pia kupiga punyeto ili kukata kiu yao ambayo inaweza kuwa tofauti, na pia kuzuia ujauzito. Mwisho tukumbuke punyeto kuzuia maambukizo ya zinaa.

Shukrani!
 
Back
Top Bottom