-mseto_
Member
- Jul 30, 2017
- 92
- 47
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani tu hizi hakuna ukweli kwenye hili kibiologiaUkifikisha miaka 40 nguvu za kiume kwishney.
Kabisa Chaputa kidumu!Kujichua (punyeto) hutajwa kuwa na faida kwa mwanaume hasa katika kuongeza ubora wa mbegu na kufanya uwezo wa kutunga mimba kuwa mkubwa zaidi.
Kumbuka: Hakuna tafiti yoyote ya kisayansi iliyothibitisha kwamba kujichua kuna madhara.
#Fahamuzaidi
Sent using Gun Trigger
Yes,mfano nikiwa addicted kusoma lazima nifauluHivi kuna addiction yoyote yenye faida?
Kweli?
Hayo matango pori alikulisha nani?Ukifikisha miaka 40 nguvu za kiume kwishney.
On you!!Lord have mercy
Safi naona umekuja na hoja na sio bla bla!!Nitaandika faida zake kitaifa
Inafanya kesi za ubakaji kutokuwa rukuki hivyo kutokujaza magereza😂
Inaepusha serikali kuingia gharama za kukutibia kwani utakuwa umejiweka mbali na magonjwa ya kulipiwa na nchi!..
Utapunguza stress za kutoswa au kuombwa hela au kufanyiwa manjangunjangu,hivyo kupelekea utendaji mzuri wa ujenzi taifa.
Utaisababishia serikali kuwa na kukidhi rasilimali watu na sio watu kuwa wengi kwa kuzaliana hovyo😂
Hasara utakazo patia taifa.
Utauuwa pato la taifa litokanalo na kondomu!
Serikali itakosa kodi kutoka kwenye magesti house kwani wateja ndo nyinyi mnamapepo ya kujiselfisha😂
Utakuwa umeongeza stress kwa jinsia ya tofauti nawe kwani hawapati haki ya msingi,hivyo unaweza athiri ujenzi wa taifa!
Utauuwa uchumi wa nchi endapo kutatokea rasilimali watu kuadimika maana kuzaa hakuna watoto mnawatupa chooni😂
nchi itakosa watu wakupiga mfano wezi ambao ilitakiwa wazaliwe nawe! Ama nchi itakosa motivation speaker ambao pia ilitakiwa wazaliwe nawe!
Kiujumla nchi itakosa watu muhimu😂
Maoni yangu
Punyeto sio nzuri maana inahasara nyingi kushinda faida hasa ktk ngazi ya taifa!..
Hivyo ni vyema kuunda sheria ya kukataza mchezo huo au ufanyike kwa mtu mwenye mahitaji maalum na iwe kwa kibali Cha leseni ambayo italipiwa si chini ya dola 500. Ili kufidia pato la taifa.
Too much is harmfulYes,mfano nikiwa addicted kusoma lazima nifaulu
Sawa mkuu.Nitaandika faida zake kitaifa
Inafanya kesi za ubakaji kutokuwa rukuki hivyo kutokujaza magereza[emoji23]
Inaepusha serikali kuingia gharama za kukutibia kwani utakuwa umejiweka mbali na magonjwa ya kulipiwa na nchi!..
Utapunguza stress za kutoswa au kuombwa hela au kufanyiwa manjangunjangu,hivyo kupelekea utendaji mzuri wa ujenzi taifa.
Utaisababishia serikali kuwa na kukidhi rasilimali watu na sio watu kuwa wengi kwa kuzaliana hovyo[emoji23]
Hasara utakazo patia taifa.
Utauuwa pato la taifa litokanalo na kondomu!
Serikali itakosa kodi kutoka kwenye magesti house kwani wateja ndo nyinyi mnamapepo ya kujiselfisha[emoji23]
Utakuwa umeongeza stress kwa jinsia ya tofauti nawe kwani hawapati haki ya msingi,hivyo unaweza athiri ujenzi wa taifa!
Utauuwa uchumi wa nchi endapo kutatokea rasilimali watu kuadimika maana kuzaa hakuna watoto mnawatupa chooni[emoji23]
nchi itakosa watu wakupiga mfano wezi ambao ilitakiwa wazaliwe nawe! Ama nchi itakosa motivation speaker ambao pia ilitakiwa wazaliwe nawe!
Kiujumla nchi itakosa watu muhimu[emoji23]