Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

Hii ndio sababu naiogopa sana JF dadeq!
Mkuu umejoin JF jana usiku

I mean hata siku moja( masaa 24) huna hapa jukwaani,umenijuaje?
[emoji38]
Jana niliamua kujoini lakini naishi hapa kitambo sana Joanah [emoji23]
 
Habari za muda huu wakuu

Kwanza napenda kutoa shukuruni kwa wadau wote wa hili zoezi wanawake kwa wanaume, Pia nipende kutoa shukurani za dhati kwa mgunduzi wa starehe hii isiyo na gharama yeyote niwewe na mafuta yako tu na mahali popote unaweza fanya pia hata choo cha msikitini au kanisani.

Twende kwenye mada moja kwa moja kwa miaka mingi punyeto imekua mtetezi mkubwa kwa watu wengi wasio na mademu, wenye wake wanaowanyimwa mbususu na wake zao na hawana michepuko na vilevile kwa wanafunzi wanoishi shule za boarding za jinsia moja hivo nyeto ipewe maua yake.

Pili, kuna madaktari wanaohimiza punyeto na kusema ni njia ya kuonyesha pendo binafsi na ni kitendo cha kawaida kabisa kisicho na madhara yoyote katika maumbile ya uzazi. Tena wanasema mtu anapopiga punyeto kemikali ya endofini hutolewa ambayo inafanana na dawa za kulevya na hivyo husaidia kwa muda mfupi kupunguza maumivu na msongo wa mawazo.

Tatu, Nyeto inasaidia kutunza vbunda vyetu hasa sisi wanaume wenye midomo ya superglue hvo tunaona kama ni muokozi wetu namba moja maana muokozi namba mbili huko WhatsApp na telegram inahitaj uwe na vbunda hakuna cha bure.

Hvo napenda kutoa wito hichi cha CHAPUTA kisajiliwe kama vyama vingine vya kijamii ili kiweze kutoa msaada wa kielelimu kwa wanachama wanaozidisha dozi ili wasipate madhara makubwa na kutoa vifaa vya kisasa vya zoezi hili kama K..ma bandia na mb....oo bandia kwa dada zetu ili zoezi liwe na uhalisia zaidi

1686745835722.png

1686745880740.png

1686745911089.png
 
sasa inakuwaje baada ya kumaliza nyeto mtu huwa anajisikia vibaya na kujiona amefanya jambo la kijinga kabisa? naongea hivi nikiamini ni wanaume wachache sana hawajawahi kufanya huu ujinga wakati wa ujana waol
 
sasa inakuwaje baada ya kumaliza nyeto mtu huwa anajisikia vibaya na kujiona amefanya jambo la kijinga kabisa?
ni nadharia potofu zilizokuwepo zamani, watu walikua wanaamini puchu inaleta upofu, watoto walikua wanalala na pingu mkononi wakigundulika na hiyo tabia.... hiyo nadharia haijapotea mpaka sasa, ndio maana watu bado wanachukulia puchu vibaya....

Kinachoharibu akili na kuleta erectile dysfunction ni porn na sio puchu.... wanaotumia porn ndio wanaharibikiwa, puchu ni kawaida kwa binadamu akiwa anabalehe kwakuwa ndo anaugundua mwili wake.... porn na explicit media zingine za ngono ndio mbaya.... masturbation comes naturally
 
ni nadharia potofu zilizokuwepo zamani, watu walikua wanaamini puchu inaleta upofu, watoto walikua wanalala na pingu mkononi wakigundulika na hiyo tabia.... hiyo nadharia haijapotea mpaka sasa, ndio maana watu bado wanachukulia puchu vibaya....

Kinachoharibu akili na kuleta erectile dysfunction ni porn na sio puchu.... wanaotumia porn ndio wanaharibikiwa, puchu ni kawaida kwa binadamu akiwa anabalehe kwakuwa ndo anaugundua mwili wake.... porn na explicit media zingine za ngono ndio mbaya.... masturbation comes naturally
mapono yanaharibuje? hebu waelimishe vijana hawa wa hovyo? nasema hivi kwasababu hakuan mtazama porn asiye mpiga puchu. wote baba yao ni mmoja, shetwan.
 
hakuan mtazama porn asiye mpiga puchu.
hii ni kweli, ila kuna mpiga puchu asiye cheki porn... kwa wale ambao kujichua ilikuja naturally hawana shida tofauti na watumia porn, watumia porn ni kama walevi.... wana uraibu
 
hii ni kweli, ila kuna mpiga puchu asiye cheki porn... kwa wale ambao kujichua ilikuja naturally hawana shida tofauti na watumia porn, watumia porn ni kama walevi.... wana uraibu
mimi naona wote wana shida. kupiga pushu unalegeza misuli ya mzee..............., na kuangalia porn unahamisha akili toka kwenye kuhamasika ukiwa na mwanamke live kwenda kwenye kuhamasika (kuamshwa hisia) baada ya kuona porn. na pia kwenye kupiga bao lile la pushu linapigwa kwasababu uume umekamuliwa kwa namna fulani hivi wakati lile la mwanamke linakuja kutokana na kutekenywa, utelezi, jotoridi na ile hisia kwamba umemwingilia mwanamke. icho ni kitu cha muhimu sana.
 
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.

Kuna propaganda ambazo bado hazijakubalika na wanasayansi kuwa kupiga punyeto kutakufanya uwe punguani, nyingine eti utamea nywele kwa mkono na pia kuna propaganda kuwa ukitimia miaka fulani utaishiwa na nguvu za kufanya tendo la ngono. Kwa wanasayansi hio ni porojo.

Badala ya kuangalia madhara yake (hayajadhibitishwa) wanasayansi wameonelea kuangalia umuhimu wake.

Umuhimu wa kupiga punyeto

Kupiga punyeto kunaongeza nguvu mwilini
Imedhibitishwa kuwa kupiga punyeto mtu wakati anaposhusha hutoa homoni ijulikanayo kama cortisol ambayo wakati inapotolewa kwa kiwango kidogo huupatia mwili nguvu za kujikinga dhidi ya magonjwa.

Kupiga punyeto huondoa mgando (cramps) kwa wanawake
Imebainishwa kuwa badala ya wanawake kujichoma na maji ya moto wakati wameshikwa na cramps ni vyema na rahisi kwa mmoja kupiga punyeto kwani inarahisisha kusimamisha mgando huo

Kupiga punyeto kunakinga kutokana na kushikwa na kansa ya kibofu (prostate cancer)
Kupiga punyeto kunasaidia kuondoa na kusafisha sumu (toxins) zinazopatikana katika njia za mikojo (urogenital track) ambazo hufanya mtu kushikwa na magonjwa kama ya kansa. Wanasayansi wanadai kuwa kupiga [unyeto mara 3 kwa wiki kunapunguza uwezekano kwako kushikwa na ugonjwa huu wakati umetimia umri wa miaka 40.

Kupiga punyeto kunakupa manufaa ya kufurahia ngono
Punyeto humfanya mtu kujielewa mwenyewe pale ambapo anafahamu vyema kutampa furaha. Pia husaidia mtu kuufahamu mwili wake mwenyewe bila tatizo.

Kupiga punyeto kunakusaidia wewe kupata usingizi
Punyeto hupunguza kasi ya msukumo wa damu na pia kuna homoni ijulikanayo kama endorphins. Homoni hii inajulikana kumpa mtu utulifu na pia huondoa stress mwilini. Pia inajulikana kupatia mtu hisia nzuri.

Punyeto husaidia kuondoa magonjwa ya njia ya mkojo (urinary tracks infection)
Inajulikana kuwa punyeto husaidia kuondoa bacteria katika mlango wa uzazi wa mwanamke (cervix). Punyeto inafaa zaidi haswa kwa wale wanaokubwa na ugonjwa wa njia za mkojo.

Owk! nishakupa manufaa ya punyeto lakini sijakupa visababu kwa kujichafua sana....ukizidi sana fanya mara 3 kwa wiki kama vile wanasayansi walivyokubaliana.
Kujua vipele vyako???
 
Back
Top Bottom