Zijue gharama za Nyama na maharage nchini Ubelgiji alipokuwa Lissu

Maharage yanalimwa Tanzania,Nyama Tanzania tuna mifugo mingi kuliko Ubelgiji,Thamani ya maisha na pesa Ubelgiji na Tanzania ni vitu viwili tofauti,kwa nini ufanye comparison kati ya Ubelgiji na Tanzania wakati kila kitu kuanzia siasa,uchumi,utawala,elimu,lugha,mfumo wa maisha,kodi,uwajibikaji,haki za binadamu nk.tunatofautiana?
 
Anahitaji tiba ya akili kiumbe Lissu
 
Hapa umeonesha mapungufu makubwa kwenye uelewa wako. Bei katika soko inapangwa kutokana forces of demand and supply , bei haipangwi tu kwa kutamani iwe hivyo na kipimo ni dola ya Marekani.
Umetembelea nchi zote ili ujue kuwa bei hupangwa na ulimwengu acha kutufanya Wajinga tembelea nchi mbalimbali na maeneo tofauti tofauti ili uongeze uelewa.
 
Ishu ya msingi sio GDP au per capita hoja hapa ni ishu ya kupanda bei ya vyakula ,je lissu kushangaa vitu kupanda bei ni sawa huku hata ubelgiji bei za vitu zilipanda sana?
Zilipanda Belgiam kutoka kiasi gani na kwa kipindi gani.
Unahoja labda ila umeshindwa kuiunda.
 
Umetembelea nchi zote ili ujue kuwa bei hupangwa na ulimwengu acha kutufanya Wajinga tembelea nchi mbalimbali na maeneo tofauti tofauti ili uongeze uelewa.
Kama hukumuelewa mwenzake utakuwa una matatizo
 
Huku mtu kutwa nzima analipwa elfu 6 Wengine mpaka nne bado anaweza kula na matusi ya wahindi na wachina
Kwa wenzetu kwa lisaa tu mtu anakunja dola 8.
 
Sayngay
 
Pia hapo unapaswa kuchambua mshahara wa mtu wa chini unaweza kununua kilo ngapi kwa bidhaa unayochambua?
 
Nchi za ulaya miaka yote gharama za maisha ziko juu sana kila kitu ni ghali sana isipokua nyama ya kuku tu ndio chakula cha masikini wa Ulaya. !!
 
..kima cha chini cha mshahara Belgium in Euro 14 kwa saa ambazo ni zaidi ya Tsh 35000 kwa saa.

..kama tunataka kufanya ulinganisho kati ya gharama za maisha za Belgium vs Tanzania yunaweza pia kuanzia kwenye masuala ya kipato / mishahara.
Umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…