Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Miika Mwamba alikuwa anatengeneza nyimbo hata nje ya Bongofleva. Nyimbo nyingi za dansi za 2000-2004 zilizotengenezwa FM STUDIOS kama vile Tunda ya Wanatamtam, Chuki Binafsi , Ukubwa jiwe, Aminata za Twanga Pepeta na nyingine nyiiiingi zilikuwa na mkono wa Miika.
Alitwaa tuzo ya Producer bora kwenye Kili Awards za mwaka 2001
 
Najua elimu dot kuna kipande kimerekodiwa pale opposite na airport kwa mwalimu kaneno sasa hivi pamebolewa karibu na Amadori. Kipindi wakina d knob wanafanya talent search pale jumbo club airport. Miaka imeenda msalimie Dr hi
 
Kamanda ya daz nundaz Charles Hilary alikua anaikubali halafu anasema vijana wameandika wimbo mkali tatizo neno kamanda tu . Kipindi nyimbo zipo kwenye peak
 
Ilikuwaje huyu jamaa aliweza kutofautisha beat kati ya wimbo na wimbo!!!!!.

Mfano

Sauti ya gharama-d knob
Tamara-hardmad
Kamanda-daz nundaz!!

Kitu ambacho hawa kina hamorapa wa sasa kinawashinda.
 
Najua elimu dot kuna kipande kimerekodiwa pale opposite na airport kwa mwalimu kaneno sasa hivi pamebolewa karibu na Amadori. Kipindi wakina d knob wanafanya talent search pale jumbo club airport. Miaka imeenda msalimie Dr hi
Dah nimekulia mtaa huo huo miaka yote mpaka sasa,nadhani wewe nakujua,utakuwa dickson chilalile aiseee.Long sana mkuu
 
muwe mnaweka na nyimbo zenyewe humu, ili we rahisi kusikiliza au tupia link....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…