Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba

Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.

Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
Amit yupo uingereza, alirudi bongo baada ya kumaliza masomo yake ya sound engineering akafungua studio baadae alirudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…