TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunavyomsindikiza baba zuri Songwe tuunganishe msibani, kuna gari za kwenda Zimbabwe pale Tunduma..!! 😹😹😹

Uduguu uwahi kijora cha msibani, sio uibuke na kinjunga chako…!!

Halafu kishona kinapanda?
Tukifika sisi ni kugalagala na kulia tu.
Tunanyamaza muda wa msosi na wa kula bia..!!
 
Huwezi kuchangamana na Shetani halafu ukawa salama, Mungu siyo fala

Hili ni fundisbo kwa Mamluki wengine
Kusema ukweli hisia zangu huyu marehemu biggie namhisi alihusika kuingiza silaha zilizo tumika kwenye ukatili wa MO29.
Nahisi pia alikuwa anatumika kwenye biashara haramu mfano utakatishaji pesa za viongozi wa nchi ya Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…