Kuna vingine mnamsingizia Mungu bure, hawa wana madhabahu yao, amini usiamini hii ni sacrifice.aisee Mungu mkali nyie 😳 kwahyo kafuta kizazi chote?
Itakua ilikua overloaded tu,lile puto alitakiwa kupanda mwenyewe na awe rubani mwenyewe sasa kapanda na mtu 6 +6yeye =12.Kusafiri wa helicopter huwa Sina Imani nao
How? au niko nyuma sana 🤔Jamani eda ya pili? 😥😹
Hilo dubwasha limechangia ndugu zetu kufa bora na lenyewe lilivyokufa..!!
Nilikua nna mpango wa kulala acha nitafute kitu kwenye counter yangu nienjoy kidogo..! 🍾🥂
Kwetu si tuna shereheeeeeee 🍻
Aisee nini hiki unaandikaKwamba anarudi eda tena
Eda mbili kivipi weweHilo umbo lake,utokee angani na Helicopter hadi afike aridhi,hapo tutarajie,Mjane,atoke Eda,kwenda kuzika Zimbabwe
Kuna kila dalili mama kwenda Eda mbili
Muulize mama KizimkaziAlikuwa mfanyabiashara wa nini?
Bahati mbaya huwa sina muda wa debate na mpumbavu kama wewe.huyo sio illuminati mzee
Wanaume waliopo kwenye movement za kila saa kwa kutumia vyombo vya moto wana zaidi ya 60% kufa muda wowote
Kama unataka umri mrefu kachunge ngombe shambani urudi nyumbani ule ulale mbona simple tu
Au kama ni mpambanaji kila kitu kifanywe na machawa movement zako ziwe chache
Kama Ginimbi tuDuuh, kwani huyu jamaa chanzo cha utajiri wake ni nini?
Mbona wao hawakutuacha salama?Wapumzike tu salama
Kaondoka bado mdogo sana. Halafu wengi walijuaga labda akiondoka ataondoka na magonjwa ya non-communicable diseases makisukari na pressure kwasababu wa hule mwili wake.Chivayo kama Chivayo taarifa ya msiba wake imenipa huzuni kiasi.
Alikuwa na makandokando mengi lakini sijapenda aondoke mapema namna hii