TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

Kila mtu akiwa na mawazo kama yako maisha yatakuwa magumu sana hapa duniani
 
😂 😂 😂

Labda ya huko ya bongo na age na mabange usingeweza .

Ninafuraha nimekuzidi Elimu , degree Iko kichwani Mimi , bado kupambania nihame Yombo Kiwalani sasa
 
Kuna wake za marais aliofanikiwa kupiga?
 
Duh... Mzee wa Biashara Chafu siyo???

Ndiyo maana nilikuwa najiuliza huyu jamaa mbona anatoa Sana zawadi za Magari ya kifahari pamoja na Pesa za Dolari na Mamlaka za Kodi zinamuangalia tu...
Na ukifatilia vizuri makala ya Gold Mafia utakuja kuelewa kuwa serikali ndiyo inayobariki money laundering kutokana na wao kuwekewa vikwazo kimtaifa.

Hawa kina chivayo ndiyo wanaotumika na serikali.

Thread hii hapa ukipata muda wako ipitie mpaka kina Emerson Mnangagwa wanahusika .
 
Alipiga.

Tafuta kitabu kinaitwa "Gaddafi's Harem: The Story of a Young Woman and the Abuses of Power in Libya"
by Annick Cojean.
Wanawake 🤗 mke wa rais ana njaa gani ya kumfanya ababaike na hela za mwanaume mwingine?

Kama una soft copy yake nifanyie wepesi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…