Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
-
- #101
Vyote hivyo vinafanyika kiwepesi zaidi. Ni mambo ya kawaida sanaWakati wa plumbing ungetuoneshabkwa picha bomba zinawekwaje pamoja na bomba za umeme, na kwa unene wa hizo tofali ukidrill kutundika kitu chenye zaidi ya KG25 kama water heater za Astron utaweza kuhimili?
Switch socket za umeme box yake inakaaje?
Upo sahihi.Hataki kujibu zaidi ya blaa blaa tu! Yuko tayali kueleza maelezo ya kujielezea kuliko kujibu maswali mhimu ambayo yangempa credit!
Nyumba siyo boma tu! Nyumba ni combination ya vitu vingi vya kuifanya ifae kuishi, umeme, maji , na uwezo wa kuhimili uzito, jua, mvua.n.k
Watu makini lazima wajilizishe na hivyo vitu VINGINEVO ASEME ni NI ZA KUJENGEA FENCE
Hii machine kubwa ya airconditioner ni zaidi ya heater la kilo 25 uliloulizia.Wakati wa plumbing ungetuoneshabkwa picha bomba zinawekwaje pamoja na bomba za umeme, na kwa unene wa hizo tofali ukidrill kutundika kitu chenye zaidi ya KG25 kama water heater za Astron utaweza kuhimili?
Switch socket za umeme box yake inakaaje?
Kila kozi moja ya mzunguko kwa kipimo hicho ni hollow blocks 160.Fence kwa kiwanja cha 20*20 unaweza kutumia blocks ngap??
Hataki kujibu zaidi ya blaa blaa tu! Yuko tayali kueleza maelezo ya kujielezea kuliko kujibu maswali mhimu ambayo yangempa credit!
Nyumba siyo boma tu! Nyumba ni combination ya vitu vingi vya kuifanya ifae kuishi, umeme, maji , na uwezo wa kuhimili uzito, jua, mvua.n.k
Watu makini lazima wajilizishe na hivyo vitu VINGINEVO ASEME ni NI ZA KUJENGEA FENCE
Sina sababu ya kumshawishi mtu anunue au asinunue.Mkuu, hii ni biashara , tena inaweza kuwa kubwa saana kuliko unavyotarajia. Nakusihi uweke bei ya tofali moja. Ili watu walinganishe na aina nyingine ya ujenzi. Hivi unafikiria kabisa unaweza umshawishi mteja kwa lugha ya saving kati ya 40-60% ?, bila bei? .Binafsi ,mimi niko wengine kwenye sekta ya ujenzi kwa miaka mingi tu, na nishayatumia matofali hayo ambapo ilibidi tuagize mashine toka china. Hivyo jinsi ya kuyatumia najua, sasa naomba bei tu
Mkuu, ni uamuzi wako kutosema bei. Ila nakukumbusha kuwa kuna teknojia nyingine pia zilikuja kwa jina la kupunguza gharama na muda wa ujenzi ambazo ni 1. hydraform bricks, EPS/Megapanel na Moladi lakini walaji wameshindwa kuona maajabu yake na kupelekea kupotea sokoni. Maana kwa watanzania tulio wengi, Muda/Time sio issue kubwa, ndio maana huwa tunajenga course 4 kisha tunapumzika, unajikuta tunamaliza nyumba kwa miaka zaidi ya mi2. Ila hiyo teknolojia yako inataka ukija site upige tofali zote ndio uondoke. Wakati kwa traditional method huwa tunanunua tofali hata 200 fundi anajenga kisha tunasimama.Sina sababu ya kumshawishi mtu anunue au asinunue.
Bidhaa zetu zinajiuza zenyewe hazina haja ya kumshawishi mtu. Tunachofanya hapa ni kuwaonesha Watanzania ambao bado hawjazijua boidhaa hizi kua unaweza kujenga bila jasho, ni hilo tu.
U Gharama nafuu hauji kwenye kua bei ndogo, wengi tusijidanganye kwa fikra hizo. Ugharama nafuu kwenye ujenzi nikwa mambo kadhaa. Vipi unaokoa muda? Ni vipi unaokoa kuwa na pesa nyingi za kujengea kwa mara moja?
Kwa ufupi Kingereza wanasema "value added products". Tuna mifano miwili miwili mitatu mizuri ya "value added" kwa kutumia bidhaa na ujuzi wetu. 1) Kila bidhaa yetu ina kazi zaidi ya moja, 2) Bidhaa zetu zinakuwezesha kuokoa muda wa ujenzi, 3) Bidhaa zetu zinakupunguzia idadi ya mafundi na vibarua takriban kuanzia mwanzo wa ujenzi mpaka mwisho. Mfano mzuri sana ni kua tumefuta kwenye msamiati wa ujenzi misemo miwili maarufu, msemo wa "zege halilali" haupo kwenye ujenzi wetu, zege kwenye ujenzi wetu "zege "linalala". Msemo mwingine ambao kwetu hauna nafasi ni ule wa "fundi lazima ajue kubomoa", sisi tunasema "fundi si kazi yake kubomoa".
Kila tunavyoendelea kwenye uzi huu, tutajionea mengi, soma post ya chini hapo.
Zingine zote ni fikra zako na upo huru. Elewa tu, sisi tupo tofauti na fikra zako.Mkuu, ni uamuzi wako kutosema bei. Ila nakukumbusha kuwa kuna teknojia nyingine pia zilikuja kwa jina la kupunguza gharama na muda wa ujenzi ambazo ni 1. hydraform bricks, EPS/Megapanel na Moladi lakini walaji wameshindwa kuona maajabu yake na kupelekea kupotea sokoni. Maana kwa watanzania tulio wengi, Muda/Time sio issue kubwa, ndio maana huwa tunajenga course 4 kisha tunapumzika, unajikuta tunamaliza nyumba kwa miaka zaidi ya mi2. Ila hiyo teknolojia yako inataka ukija site upige tofali zote ndio uondoke. Wakati kwa traditional method huwa tunanunua tofali hata 200 fundi anajenga kisha tunasimama.
Lakini pia kwa nini unasema bidhaa zenu zinajiuza zenyewe hakuna haja ya kumshawishi mtu. Ni kweli ????? Ulikuwa na lengo gani kuja huku JF na kuanzisha uzi?
Wish you all the best mkuu. Na ngoja niendelee kunywa mtori kwanza, maana nyama nitazikuta kwa chiniisome tena, unahitaji bei ya kifaa gani na cha kufanyia kazi gani?
Mimi niko sekta ya ujenzi kwa miaka 17, na nilishafanya shirika la nyumba la taifa NHC, kipindi cha Nehemia Mchechu ambapo nilipata nafasi ya kujifunza teknolojia mbalimbali katika ujenziZingine zote ni fikra zako na upo huru. Elewa tu, sisi tupo tofauti na fikra zako.
Nisome vizuri.
Kampuni za ujenzi zipo nyingi, hazijawahi kupungua na matangazo yapo mengi hayajaanza leo wala hayataisha leo. Siku hizi ndio tunazidi kuonekana kwa ajili ya social media. Pia tunapata kuwa interactive.
Usiwe na shaka, hatutaki kukuuzia mbuzi kwenye gunia na hatutaki ununue au ujue bei ya kifaa usichokihitaji au kuwa na matumizi nacho.
Biashara yetu ni kuwezeshana na elimu zaidi.
Nipo kwenye sekta ya ujenzi kwa zaidi ya miaka 40, nimeyaona mabadiliko mengi sana kwenye sekta ya ujenzi kwa uzoefu nilionao. Mwenzangu una muda gani kwenye sekta hii ya ujenzi ili tubadilishane mawazo endelevu kwa faida ya wengi.
Safi sana.Mimi niko sekta ya ujenzi kwa miaka 17, na nilishafanya shirika la nyumba la taifa NHC, kipindi cha Nehemia Mchechu ambapo nilipata nafasi ya kujifunza teknolojia mbalimbali katika ujenzi
Lengo letu kuu ni kuwezeshana, nimekuwekea hizi link za nyuzi zangu mbili chini, ukizipitia ukazisoma labda utapata kuelewa lengo langu kuu la kutangaza JF. Na baada ya kuzisoma kama utakua na maswali zaidi, usisite kuuliza...Mkuu, ni uamuzi wako kutosema bei. Ila nakukumbusha kuwa kuna teknojia nyingine pia zilikuja kwa jina la kupunguza gharama na muda wa ujenzi ambazo ni 1. hydraform bricks, EPS/Megapanel na Moladi lakini walaji wameshindwa kuona maajabu yake na kupelekea kupotea sokoni. Maana kwa watanzania tulio wengi, Muda/Time sio issue kubwa, ndio maana huwa tunajenga course 4 kisha tunapumzika, unajikuta tunamaliza nyumba kwa miaka zaidi ya mi2. Ila hiyo teknolojia yako inataka ukija site upige tofali zote ndio uondoke. Wakati kwa traditional method huwa tunanunua tofali hata 200 fundi anajenga kisha tunasimama.
Lakini pia kwa nini unasema bidhaa zenu zinajiuza zenyewe hakuna haja ya kumshawishi mtu. Ni kweli ????? Ulikuwa na lengo gani kuja huku JF na kuanzisha uzi?
Wish you all the best mkuu. Na ngoja niendelee kunywa mtori kwanza, maana nyama nitazikuta kwa chini
Kwenye rinta hayo matundu mnayaziba na nini ili zege lisipitilize chini kwenye matundu ya tofali n.k
Technical na administration. Nilichelewa kukujibu nilikuwa kwenye majukum mengine. Maana sishindi humu jfSafi sana.
Sasa tunaweza kuulizana vitu ambavyo tunavielewa.
Sekta ya ujenzi ni pana sana, upo au umebobea kwenye, technical, administrative au corporate side ya ujenzi?
Zamani nilikuwa nafikili wewe ni mtu mwenye busara!Abdul a 😛a "paniki"? ! Unajidanganya, huyo mimi humuita "mtu wa ajabu", nimemsoma juu, kakupa darsa limekuingia vizuri sana, unaonesha wewe ndio umepaniki.