Wakati wa plumbing ungetuoneshabkwa picha bomba zinawekwaje pamoja na bomba za umeme, na kwa unene wa hizo tofali ukidrill kutundika kitu chenye zaidi ya KG25 kama water heater za Astron utaweza kuhimili?
Switch socket za umeme box yake inakaaje?

Hii machine kubwa ya airconditioner ni zaidi ya heater la kilo 25 uliloulizia.
Bahati nipo sehemu kunafanyika semi finishing. Nyumba nzima hii zimetumika hollow and column blocks zetu. Vitu vyote vinakua installed kama kawaida au kiwepesi zaidi.
Mkuu, hii ni biashara , tena inaweza kuwa kubwa saana kuliko unavyotarajia. Nakusihi uweke bei ya tofali moja. Ili watu walinganishe na aina nyingine ya ujenzi. Hivi unafikiria kabisa unaweza umshawishi mteja kwa lugha ya saving kati ya 40-60% ?, bila bei? .Binafsi ,mimi niko wengine kwenye sekta ya ujenzi kwa miaka mingi tu, na nishayatumia matofali hayo ambapo ilibidi tuagize mashine toka china. Hivyo jinsi ya kuyatumia najua, sasa naomba bei tu

Sina sababu ya kumshawishi mtu anunue au asinunue.
Bidhaa zetu zinajiuza zenyewe hazina haja ya kumshawishi mtu. Tunachofanya hapa ni kuwaonesha Watanzania ambao bado hawjazijua boidhaa hizi kua unaweza kujenga bila jasho, ni hilo tu.
U Gharama nafuu hauji kwenye kua bei ndogo, wengi tusijidanganye kwa fikra hizo. Ugharama nafuu kwenye ujenzi nikwa mambo kadhaa. Vipi unaokoa muda? Ni vipi unaokoa kuwa na pesa nyingi za kujengea kwa mara moja?
Kwa ufupi Kingereza wanasema "value added products". Tuna mifano miwili miwili mitatu mizuri ya "value added" kwa kutumia bidhaa na ujuzi wetu. 1) Kila bidhaa yetu ina kazi zaidi ya moja, 2) Bidhaa zetu zinakuwezesha kuokoa muda wa ujenzi, 3) Bidhaa zetu zinakupunguzia idadi ya mafundi na vibarua takriban kuanzia mwanzo wa ujenzi mpaka mwisho. Mfano mzuri sana ni kua tumefuta kwenye msamiati wa ujenzi misemo miwili maarufu, msemo wa "zege halilali" haupo kwenye ujenzi wetu, zege kwenye ujenzi wetu "zege "linalala". Msemo mwingine ambao kwetu hauna nafasi ni ule wa "fundi lazima ajue kubomoa", sisi tunasema "fundi si kazi yake kubomoa".
Kila tunavyoendelea kwenye uzi huu, tutajionea mengi, soma post ya chini hapo.

Mkuu, ni uamuzi wako kutosema bei. Ila nakukumbusha kuwa kuna teknojia nyingine pia zilikuja kwa jina la kupunguza gharama na muda wa ujenzi ambazo ni 1. hydraform bricks, EPS/Megapanel na Moladi lakini walaji wameshindwa kuona maajabu yake na kupelekea kupotea sokoni. Maana kwa watanzania tulio wengi, Muda/Time sio issue kubwa, ndio maana huwa tunajenga course 4 kisha tunapumzika, unajikuta tunamaliza nyumba kwa miaka zaidi ya mi2. Ila hiyo teknolojia yako inataka ukija site upige tofali zote ndio uondoke. Wakati kwa traditional method huwa tunanunua tofali hata 200 fundi anajenga kisha tunasimama.
Lakini pia kwa nini unasema bidhaa zenu zinajiuza zenyewe hakuna haja ya kumshawishi mtu. Ni kweli ????? Ulikuwa na lengo gani kuja huku JF na kuanzisha uzi?
Wish you all the best mkuu. Na ngoja niendelee kunywa mtori kwanza, maana nyama nitazikuta kwa chini

Wish you all the best mkuu. Na ngoja niendelee kunywa mtori kwanza, maana nyama nitazikuta kwa chiniisome tena, unahitaji bei ya kifaa gani na cha kufanyia kazi gani?
Zingine zote ni fikra zako na upo huru. Elewa tu, sisi tupo tofauti na fikra zako.
Nisome vizuri.
Kampuni za ujenzi zipo nyingi, hazijawahi kupungua na matangazo yapo mengi hayajaanza leo wala hayataisha leo. Siku hizi ndio tunazidi kuonekana kwa ajili ya social media. Pia tunapata kuwa interactive.
Usiwe na shaka, hatutaki kukuuzia mbuzi kwenye gunia na hatutaki ununue au ujue bei ya kifaa usichokihitaji au kuwa na matumizi nacho.
Biashara yetu ni kuwezeshana na elimu zaidi.
Nipo kwenye sekta ya ujenzi kwa zaidi ya miaka 40, nimeyaona mabadiliko mengi sana kwenye sekta ya ujenzi kwa uzoefu nilionao. Mwenzangu una muda gani kwenye sekta hii ya ujenzi ili tubadilishane mawazo endelevu kwa faida ya wengi.

Mimi niko sekta ya ujenzi kwa miaka 17, na nilishafanya shirika la nyumba la taifa NHC, kipindi cha Nehemia Mchechu ambapo nilipata nafasi ya kujifunza teknolojia mbalimbali katika ujenzi
Mimi niko sekta ya ujenzi kwa miaka 17, na nilishafanya shirika la nyumba la taifa NHC, kipindi cha Nehemia Mchechu ambapo nilipata nafasi ya kujifunza teknolojia mbalimbali katika ujenzi
Mkuu, ni uamuzi wako kutosema bei. Ila nakukumbusha kuwa kuna teknojia nyingine pia zilikuja kwa jina la kupunguza gharama na muda wa ujenzi ambazo ni 1. hydraform bricks, EPS/Megapanel na Moladi lakini walaji wameshindwa kuona maajabu yake na kupelekea kupotea sokoni. Maana kwa watanzania tulio wengi, Muda/Time sio issue kubwa, ndio maana huwa tunajenga course 4 kisha tunapumzika, unajikuta tunamaliza nyumba kwa miaka zaidi ya mi2. Ila hiyo teknolojia yako inataka ukija site upige tofali zote ndio uondoke. Wakati kwa traditional method huwa tunanunua tofali hata 200 fundi anajenga kisha tunasimama.
Lakini pia kwa nini unasema bidhaa zenu zinajiuza zenyewe hakuna haja ya kumshawishi mtu. Ni kweli ????? Ulikuwa na lengo gani kuja huku JF na kuanzisha uzi?
Wish you all the best mkuu. Na ngoja niendelee kunywa mtori kwanza, maana nyama nitazikuta kwa chini
Lengo letu kuu ni kuwezeshana, nimekuwekea hizi link za nyuzi zangu mbili chini, ukizipitia ukazisoma labda utapata kuelewa lengo langu kuu la kutangaza JF. Na baada ya kuzisoma kama utakua na maswali zaidi, usisite kuuliza...
"Social Economic Empowerment Program,." Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshana Kiuchumi, Kwa mara ya Kwanza Tanzania. Haujawahi kutokea, duniani. Ni mpango uliobuniwa na Madrassatul Abraar, iliopo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani Tanzania. Mpango ulianzishwa nakuasisiwa na Abdul ghafur kwa...
www.jamiiforums.com
Nikirudi kwenye maeleoz yako ya bidhaa nyingine au za kampuni zingine ulizozitaja, ndio maana juu huko nilikwambia sisi tupo tofauti na wengine. Sisi ujenzi wetu umelenga hilo la Mtanzania kujenga kidogo kidogo, tumeenda mbele zaidi ya kozi nne, ujenzi wetu unaweza jenga nusu kozi au robo kozi au hata block moja ukasimama, ni mwanzo mpaka mwisho wa nyumba namna hiyo. Tunataka kumuelimisha kila Mtanzania kua kila mmoja ana uwezo wa kujenga nyumba yenye ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Si lazima ajenge kwetu, tunakufundisha mbinu na siri za ujenzi zinazofichwa na wajenzi wengi ili nawe uweze kujenga.
Kwa ufuppi, tumedhamiria kufanya mageuzi ya namna ya ujenzi na jinsi Mtanzania anavyoweza kuondoka na fikra za kuwa mpangaji wa wenye nyumba daima. Kila Mtanzania anaeweza kufanya kazi anaweza kujenga, awe kima cha chini cha mshahara au kima cha juu. Ni uelewa tu.
Ujenzi wetu unajenga kwa spidi yako, na tuna vifaa ambavyo humuhitaji hata fundi maiko, unaweza wewe mwenyewe kujenga kila wikiendi mpaka ukamaliza ujenzi kwa spidi yako. Bila hata msaidizi au ukasaidiana na mkeo/mumeo.
Nashukuru kuwa fikra zako zipo tofauti na uhalisia wetu na tulivyo hapa Abraar Education Centre. Nafurahi kuona kuwa unapata kujifunza mapya kwetu. Ukiendelea kufatilia nyuzi zetu hapa JF bado una mengi ya kujifunza, kwa ujuzi wako wa miaka 17 ukiulinganisha na wangu wa zaidi ya miaka 40 kwenye sekta ya ujenzi, kuna gap ya miaka mingi ambayo unaweza kuupata japomachache ya kujifundisha kipya kutoka kwangu, kama si vyote. Nami sikatai, najifunza mengi kutokana na maswali yako. Tuendelee.
Hujaninjibu swali nililokuuliza la kuwa upo upande upi wa ujenzi? Hukuliona swali au umelikwepa?
Tuna kifaa kingine, hiki kinaitwa Abraar Tank Block...
Kinaitwa Tank Block kwa tafsiri mbili kuu. Kwanza tunamaanisha ni Tofari "Kifaru", Kifaru kwa kufananisha na kifaru cha kijeshi. T I fari hili limepata jina hilo kwa sababu linafanya kazi nying I sana, kama vile ambavyo kifaru cha kijeshu kina uwezo wa kuputa sehemu nyingi sana.
Tafsiri ya pili, Tank ni tanki. Tan I blocks zetu zina uwezo wa kujenga Tank za maji za ukubwa wowote uke kidogo kidogo. Unawezq kuanza na kujenga Tank Block la lita 500 na lina uwezi wa kuongezeka mpaka likawa lita 18,000 kila mahitaji yankuhifadhi maji yanapozidi au kila kipato kinaporuhusu.
Kila tunapoemdelea na kupata wasaa, tutawaletea matumizi yake tafauti tafauti.
Imebidi nikukate baadhi ya maandiko yako niache yale maswali ya msingi tu, kwani mengine uliyoyaandika hayahusiani na ujenzi na mengine tumeshakujibu juu huko.
Hizo blocks ukifika unapoishia msingi wako tu, inapokua sakafu yako (floor level), wakati unayajenga, kwa wale ambao hawayajazoea sana wanayapindua juu chini, inakua unajenga kama tofari zilizozoeleka, matundu yake hayajapitiliza pande zote. Kwa wale wazoefu wa kuyatumia wanayajenga bila kuyageuza, wanapitisha cement ya mortar (mota) bila kuiingiza kwenye matundu. Utapenda kuwatazama wakiwa kazini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.