Zitambue fursa za kiuchumi katika Mkoa wa Njombe

Mradi wa tank farm zamafuta utafanyika eneoo la makambako ili kuhudumua mikoa ya nyanda za juu kusin ndo maana kama mkoa umeteua mji wa makambako kuwa logistic centre ya mkoa kwa sababu una miundo mbinu ya usafirishaji ni rafiki na maghara ya kutosha
 
Jitahidi kuwahimiza wafanyabiashara wa ndani kuwa uwezo wa kufanya "packaging" ya viazi.

Viazi vyapakiwa kwa mifuko ya size tofauti kuanzia mifuko mikubwa kama "family pack" na hadi ziazi vinne ndani ya begi moja.

Hivyo mjaribu kuwavutia vijana walosoma mambo kama marketing ambayo ina masuala kama ya packaging, branding na mengi ili kutoa elimu hiyo kwa wafanyabiashara wazawa.

Wachina wakiingia hapo watachukua nafasi ya vijana wazawa na local labor force itakuwa yakaa idle na ndo masuala kama HIV kusambaa na kuua kizazi kijacho.
 
Mkoa wa hovyo watu wa majungu, uganga, full uchawi sana, wasiotaka wageni wafanikiwe ni wenyewe tu watu wenye roho mbaya na za kwa nini. Huko kuishi mpaka uwe mwenyeji na kufanikiwa kutoka kibiashara uwe mtu wa madawa sana
 
Hapo ni makete ,wangingombe na njombe huku kwote wanazalisha viaz vya kutosha
 
Njoo kijiji cha Ujuni Makete au Imalilo Wanging`ombe, Mang`oto au Ibaga Makete, Matenga Makete kote huko ni viazi mtindo mmoja.
 
Mkoa wa hovyo watu wa majungu, uganga, full uchawi sana, wasiotaka wageni wafanikiwe ni wenyewe tu watu wenye roho mbaya na za kwa nini. Huko kuishi mpaka uwe mwenyeji na kufanikiwa kutoka kibiashara uwe mtu wa madawa sana
Pole mkuu,
Nadhani njombe ndo sehemu rahisi sana kwa wageni kuingia na kuwekeza mkuu. Maana kama ni ardhi ipo na inapatikana, hali ya hewa iko vizuri, usafiri 24/7 na biashara zinafanyika day and night. Uchawi upi unaousema wewe ambao haupo mikoa mingine mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…