Hayo ni majungu ya kuchafua mkoa wageni ni wengi Sana wamewekeza mkoa wa njombe na saiz wachina na wakenya wanamiminika kwa wingi mkoa wa njombe una fursa kibaoMkoa wa hovyo watu wa majungu, uganga, full uchawi sana, wasiotaka wageni wafanikiwe ni wenyewe tu watu wenye roho mbaya na za kwa nini. Huko kuishi mpaka uwe mwenyeji na kufanikiwa kutoka kibiashara uwe mtu wa madawa sana
Njoo kijiji cha Ujuni Makete au Imalilo Wanging`ombe, Mang`oto au Ibaga Makete, Matenga Makete kote huko ni viazi mtindo mmoja.
Nimeishi miaka miwili Mkuu napafahamu vizuri sana sie ndio tulimpokea Mtaka na tukaondokaPole mkuu,
Nadhani njombe ndo sehemu rahisi sana kwa wageni kuingia na kuwekeza mkuu. Maana kama ni ardhi ipo na inapatikana, hali ya hewa iko vizuri, usafiri 24/7 na biashara zinafanyika day and night. Uchawi upi unaousema wewe ambao haupo mikoa mingine mkuu?
KEaNimeishi miaka miwili Mkuu napafahamu vizuri sana sie ndio tulimpokea Mtaka na tukaondoka
Inawezekana mimi ndo siijui njombe vizuri, ila nipo njombe mwaka wa saba huu, na nimepita wilaya zote na vijiji vingi nimefanya nao kazi.Nimeishi miaka miwili Mkuu napafahamu vizuri sana sie ndio tulimpokea Mtaka na tukaondoka
Mkuu wewe utakuwa ni mtu wa huko kusini huwezi kugundua ubaya wa mkoa wa Njombe huo mkoa kwa wageni sio mkoa wa kuwekezaInawezekana mimi ndo siijui njombe vizuri, ila nipo njombe mwaka wa saba huu, na nimepita wilaya zote na vijiji vingi nimefanya nao kazi.
okMkuu wewe utakuwa ni mtu wa huko kusini huwezi kugundua ubaya wa mkoa wa Njombe huo mkoa kwa wageni sio mkoa wa kuwekeza
We kutoboa utasubiri sanaMkoa wa hovyo watu wa majungu, uganga, full uchawi sana, wasiotaka wageni wafanikiwe ni wenyewe tu watu wenye roho mbaya na za kwa nini. Huko kuishi mpaka uwe mwenyeji na kufanikiwa kutoka kibiashara uwe mtu wa madawa sana
Kama unataka kuwa mjasiriamali umeshafeli pa kubwa Wacha watu waendelee kutmia fursaMkuu wewe utakuwa ni mtu wa huko kusini huwezi kugundua ubaya wa mkoa wa Njombe huo mkoa kwa wageni sio mkoa wa kuwekeza
Sio kwa Njombe huwezi nidanganganya hata wafanyakazi wengi wa Kuja waliotaka kuwekeza huko walishindwaKama unataka kuwa mjasiriamali umeshafeli pa kubwa Wacha watu waendelee kutmia fursa
Acha kudanganya uma mbona tunawaona wageni wengi tu wamewekeza na miradi inaenda vizur sema ww ndo ulishindwa kutumia fursaSio kwa Njombe huwezi nidanganganya hata wafanyakazi wengi wa Kuja waliotaka kuwekeza huko walishindwa
Nitajie wageni japo kadhaa tu waliowekeza mkuu, narudia tena kusema tena kwa ujasiri ni kwamba kwa mkoa wa Njombe ni ngumu kutoboa kama sio mwenyeji huko ni watu wana wivu hatariAcha kudanganya uma mbona tunawaona wageni wengi tu wamewekeza na miradi inaenda vizur sema ww ndo ulishindwa kutumia fursa
Udongo mzuri Sana huu kwa mradi Mkubwa wa matofali ya kuchoma,Ni mkoa ulio connected na lami kwa halmashauri zake zote sita View attachment 2518615View attachment 2518616View attachment 2518617View attachment 2518619
Wivu gan mzee watu tunaongea tumewekeza njombe na tunaona watu wakimiminika kutoka mikoa mbalimbali wakiwekeza na hadi kutoka mataifa mengi hasa kutoka kenya ndo wamejaa na wachina ingia mtwango kaangalie wachina walivofungua viwanda vya singboard bado wakenye wamepanda parachichi za kutosha na na wamefungua viwanda vya usindikaji na bado kwenye chai jamaa njombe hujaizungukia vizuri ww bado ludewa huko ndo kwenye makaa wanamiminikaNitajie wageni japo kadhaa tu waliowekeza mkuu, narudia tena kusema tena kwa ujasiri ni kwamba kwa mkoa wa Njombe ni ngumu kutoboa kama sio mwenyeji huko ni watu wana wivu hatari
Kutoboa kwenye eneo gani sasa maana fursa tele.Nitajie wageni japo kadhaa tu waliowekeza mkuu, narudia tena kusema tena kwa ujasiri ni kwamba kwa mkoa wa Njombe ni ngumu kutoboa kama sio mwenyeji huko ni watu wana wivu hatari