Mbowe ni mtu Wa kujenga chama kitu ambacho wapinzani wake wasingependa kuona anaendelea kuongoza!
Kwani ni lazima uwe kiongozi wa juu ndo ujenge chama? Nani kakwambia na kukuaminisha mbowe anajenga chadema kuliko zitto?
Siwezi mzungumzia sn ZZK lkn kwa uchache Ni mtu aliejijenga yeye binafsi!
huwezi mzungumzia mana unafam ni mzalendo anayetafuta demokrasia katikti ya madictator wa chambowe[cdm]
Kwakua kamwe watu Hawawezi kulingana mawazo na mitazamo hapo ndipo unapata tofauti za Hawa watu!
Mtu anataka madaraka kwa ajili ya kuua chama na mtu anataka kubaki madarakani kwaajili ya kujenga chama! Hiyo ndio shida!
utofauti upo ila kuelezana kwa matendo pasipo na maneno mengi hufikia kuelewana kwa pande mbili,yan zzk kutaka madaraka ndo kukiua cdm?nini kinakuaminisha ivo?au ni kelele za TL na slaa?
 
""kama kingekuwepo chama kingine imara ningekipa nchi nikainyang'anya ccm lakini sasa sioni chama cha kukipa nchi yangu herikubaki tu na ccm mpaka pale vyama vingine vitakapokuwa IMARA"" ni mtazamo tu! NAPITA....
Umerukwa na akili!
 
Sasa ninaelewa na kuamini kwa nini wanazimbabwe huwa wanaamua kubaki na ZANU PF yao.
 
===>Ni upepo tu huu,utavuma kwa muda then utapita,
===>Ni sawa na mwendo wa Ngarawa,Meli au Mtumbwi baharini kuyumba ni lazima kwa sababu za mawimbi.
===>Naamini kauli ya Mzee Wasira haitatimia hata siku moja na CDM itazidi kusonga mbele daima.
 
Pumba 2pu!
 
Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.

Original post:

Revised Post:


Kutoka Gazeti la Raia Tanzania

Ha Ha Haaaaah, The Saga Continues!!!!!

My Take To All Jf Members :
" In Politics Nothin Happen By Accident, If Something Happen Then U Can Bet It Was Planned To Be That Way "
" Usimuamini Mwanasiasa Hata Kama Ni Wa Upinzani "
" Akili Za Kuambiwa Changanya Na Zako "

Haya Chadema Na Zitto Endeleeni Na Drama Zenu....We Will See You In 2015 When U Get There!!!!!!!
 

Zitto alipewa magari na fedha nyingi kumrubuni mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini/Kupunguza kasi ya CHADEMA Musoma Vijijini na kazi nyingine maalumu zenye lengo la kudhoofisha CHADEMA.
 
mkuu rudi usome hiyo post au nenda kwenye facebook page yake kunamajibu ya hili unalolidai.

Nimeisoma tena hiyo ripoti hapo juu, yenye direct quotes kutoka kwa Zitto, hajajibu kama kapewa hayo magari na Mkono au hajapewa.

Kuhusu Facebook, usifikiri kila mtu anafagilia Facebook na ana page ya Facebook, na hata kama kila mtu anayo, huwezi ku assume tu kwamba kila mtu ni rafiki yake na Zitto.

Mimi siwezi kukwambia nenda kasome article inayoonwa na walio subsribe tu WallStreetJournal.com kwa sababu tu mimi nime subscribe Wall St. Journal nikategemea na wewe uwe ume subscribe. That's neither fair nor reasonable.

Kama una access na Facebook page yake na kajibu hili naomba uweke wazi hapa.

La, anaonekana hakujibu swali, kaibua mengine.

And like I saiod, two wrongs do not make a right.
 
""kama kingekuwepo chama kingine imara ningekipa nchi nikainyang'anya ccm lakini sasa sioni chama cha kukipa nchi yangu herikubaki tu na ccm mpaka pale vyama vingine vitakapokuwa IMARA"" ni mtazamo tu! NAPITA....

Pita na usirudi!
 
Zitto alikua wapi kuyasema haya kabla? Huo ndo usaliti na unafiki!
mkuu huwezi jua siri ya mke na mume mpaka watakapo talakiana
hii ya zitto na cdm ni ndogo subiri siku mropokaji TL na wengine watangaze nia ya kugombea uenyekiti uone
 
""kama kingekuwepo chama kingine imara ningekipa nchi nikainyang'anya ccm lakini sasa sioni chama cha kukipa nchi yangu herikubaki tu na ccm mpaka pale vyama vingine vitakapokuwa IMARA"" ni mtazamo tu! NAPITA....

Unanikumbusha Kenya waliungana kwa pamoja kukiondoa chama tawala madarakani!

Sasa kimebadilika nini!
Sema binaadamu tunatabia ya kuchoka chakula kimoja tu kama wanawaizraili Jangwani!

Tusitegemee miujiza eti kikija chama kingine tutakua kama Peponi sema tunataka kubadilisha walaji wengine nao wapate!

Kumebadilika nini Tunisia, Libya, Misri, France na hata South Afrika?
Wote hao walijengewa matumaini ya maziwa na asali je ndio wanayopata sasa?

Usiwe na matumaini ya kukombolewa na wanasiasa futa ujinga huo kichwani!
 

Hajajibu chochote. Huwezi kujibu tuhuma kwa kutoa tuhuma. Ulihongwa magari mawili na Mzee Mkono jibu lake au utetezi wake hauwezi kuwa hata fulani naye alipewa pesa. Hayo si majibu. Two wrongs do not make a right - Kwa kuwa mimi nimekosa, basi ni sawa na wewe kufanya makosa. Kama kuna chochote, Zitto amekiri kuwa tuhuma kuwa alihongwa na Mzee Mkono ni kweli kwa kuwa hajakanusha. Tuhuma zake kwa Mwenyekiti Mbowe ni suala jingine.
 
Zitto alipewa magari na fedha nyingi kumrubuni mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini/Kupunguza kasi ya CHADEMA Musoma Vijijini na kazi nyingine maalumu zenye lengo la kudhoofisha CHADEMA.

acha ukuku wewe, acha matusi sisi sio wajinga

huyo mgombea ni mtoto na hajitambui

unataka kusema wagombea wa CDM wanarubunika?? was it difficult kwa mkono kumface moja kwa moja??

fikiri kwanza

duhh
 

Ktk post Yangu hiyo ulojibu nimesema Siasa ni vita! Sasa Km chama mfumo wake umegundua kua mtu Fulani ni pandikizi na dhamira Yake kwa chama sio nzuri wewe ndio unaita uzalendo au kitetea demokrasia?

Hizo porojo jiambie weye mwenyewe lkn kwa mtu anae elewa Siasa na kadhia zake huwezi kumdanganya kwa maneno yako!
 
Mbowe anatia aibu

Alafu bora angekanusha kwamba hajawahi kupoke "msaada" toka CCM!,kakubali na zaidi anasema kwamba hela kakopesha CHADEMA kwa riba kubwa utafikiri CHADEMA haimuhusu kumbe yeye ndo mwenyekiti,

Naomba Mbowe ajitathimini na kuangalia kama bado anafaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA au Club Billicanas!

Anatia kinyaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…