Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Nani mtani Jembe?
Zitto bado safari yako ni ndefu!!!!... Go to hell!... Hata ukija kwa majina bandia utajulikana!Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Chacha died, I won't.
Ulikuwa wapi siku zote kusema haya? Umeona unatemeshwa ubunge unaanza kutafuta tawi la kushika?atajulikana tu mkuu siku yaja
Zitto hajajibu mashtaka kwake kuhusu magari aliyopewa na Mkono. Two wrongs do not make a right.
Hili saga linathibitisha yale niliyokuwa naandika hapa kitambo.
Hakuna Zitto wala uongozi wa CHADEMA, wote ni wale wale tu.