Hongera kada la magamba kwa kutegwa na kutegeka.Pole kwa kutokujua kuwa Chama Chenu kina mpango mbaya na mradi wa gesi na mifano mingi tumeiona katika sekta mbalimbali ikiwemo madini nk.
 
CCM hamuwezi kushinda uchaguzi kwa kutukana kukashifu kuwazushia mabaya wapinzani wenu....tuliwaamini ccm tukawapa muda wa kutosha kutuongoza huu si wakati wa Magufuli kuzidi kutoa ahadi bali ni wakati wa kutuambia mmetufanyia nn kwa kipindi chote hicho tulichowaamini, siasa za maji taka si za kizazi hiki tuanawapotezea tu. INSHALLAH 2015 Lowassa anatosha.
 
Sina hakika sana kama Watz tunahitaji vijembe na kuchafuana kwa wanasiasa bali tunahitaji wanasiasa watakaotuwezesha kutoka kwenye hili dibwi la umaskini, ujinga, maradhi, rushwa, uonevu wa wenyenacho na matatizo kibao yaliyotujaa wanyonge wa Tz. Tusaidieni kutoka hapo waheshimiwa na si vinginevyo hayo hayana tija kwetu kwa sasa
 

Soma post namba moja, kuna CCM hapo?
 
Wewe mama muislam halafu unaleta chuki za kikabilA uchaga upemba uzalamu haya mambo hayafai usitupe misingi yako ya dini kwa mambo ya kidunia acha kufarakanisha watu wape nasaha hata kama mnatofAutiana
 
Ha ha yaani huyu zito ni kilaza kwani mbowe anagombea nini mpk aanze kumrukia Rukia. Wameshindwa lowassa sasa kaja na plan za mbowe
 
Mbowe ndiye aliyemwokota na kumpandisha kisiasa yaani tunaita Godfather,hizo ni dalili za kukata tamaa na utovu wa nidhamu na kukosa shukrani
This is too low. Kumwokota kunahalalisha kupokea mapesa yanayotajwa toka kwa hao tulioambiwa ndio maadui wa nchi? Mama kifaranga alitakiwa atupatie majibu ya tuhuma hizi nzito. Subirini uchaguzi umalizike mtatueleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…