Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
CCM hamuwezi kushinda uchaguzi kwa kutukana kukashifu kuwazushia mabaya wapinzani wenu....tuliwaamini ccm tukawapa muda wa kutosha kutuongoza huu si wakati wa Magufuli kuzidi kutoa ahadi bali ni wakati wa kutuambia mmetufanyia nn kwa kipindi chote hicho tulichowaamini, siasa za maji taka si za kizazi hiki tuanawapotezea tu. INSHALLAH 2015 Lowassa anatosha.
Wewe mama muislam halafu unaleta chuki za kikabilA uchaga upemba uzalamu haya mambo hayafai usitupe misingi yako ya dini kwa mambo ya kidunia acha kufarakanisha watu wape nasaha hata kama mnatofAutiana
Ha ha yaani huyu zito ni kilaza kwani mbowe anagombea nini mpk aanze kumrukia Rukia. Wameshindwa lowassa sasa kaja na plan za mbowe
nikuulize ndgu kuna kitu gani lowassa amekisema ambacho hakuweza kukifanya alivokua waziri mkuu?
semeni na kuhusu ESCROW , MEREMETA NA mengine mengi..ni kwel hamna jipya..ukweli siku zote unauma lakini hauna budi kusemwa....!
Leo ni nani wa kuyapinga haya:
[h=2]Sunday, January 5, 2014[/h] Zitto Kabwe auanika Ufisadi wa Freeman Mbowe... Adai Tundu Lissu ni kifaranga, hivyo anamtaka mama kifaranga....Amegusia pia kifo cha Chacha Wangwe
Akizungumza katika press conference ya CHADEMA na waandishi wa habari iliyofanyika leo, Mwanasheria mkuu wa Chadema, Mh.Tundu Lisu alisema kuwa mkakati wa kuwachafua viongozi ni wa siku nyingi ambapo Chama kimefanikiwa kunasa mawasiliano ya Zitto tangu mwaka 2009 alipokuwa akiwasiliana na akina Denis Msack wa Mwananchi.
Lissu alisema njama hizi ndio zilizopelekea mpaka mashtaka ya Ugaidi ambapo katika mahojiano yake ya Star Tv akiwa na akina Mwigulu Nchemba Zitto hakukanusha, pia aliandika kwenye mitandao kuwa Chadema imtose Wilfred Lwakatare
Lissu aliongeza kuwa Zitto mpaka sasa ana magari mawili ya Nimrod Mkono na Mkono mwenyewe ndiye amewaambia taarifa hizo. Mkono amewaambia kuwa amempa Zitto hela nyingi sana na Zitto alishiriki moja kwa moja kumzuia mgombea wa Chadema katika Jimbo la Nimrod Mkono .
====Huu ni ujumbe wa Zitto Kabwe kujibu mapigo ya Tundu Lissu===
**
Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini.
Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa.
Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.
They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili.
Chanzo: Zitto Kabwe auanika Ufisadi wa Freeman Mbowe... Adai Tundu Lissu ni kifaranga, hivyo anamtaka mama kifaranga....Amegusia pia kifo cha Chacha Wangwe | MPEKUZI
Wapeeeeee wapeeeeee
Kashindwa kujitetea na kashindwa kutetewa bungeni sakata la Richmond, uwaziri mkuu ukamshinda.
On the contrary, Mizengo Pinda, juzi juzi tuliona katetewa mpaka na wapinzani bungeni sakata la escrow.
Hiyo ndiyo tofauti ya kiongozi na fisadi.
ulikuwa umekufa nini kaka hiyo story ina miaka 3*BY ZITTO KABWE*
"Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini. Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa. Pia hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni. Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.
They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili."
Najiuliza vipi deni ilo la NSSF? NYUMBA ya umma pale ilipo club bilcanas ?
Kwanini kufa kwa wangwe kuhusishwe hapa?
But it make senseOld strory !!!!!!!!