Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Mbona Zitto anaitwa kikaoni yeye anakimbilia mahakamani, atajibuje sasa tuhuma anazotaka aandikiwe. ama anahusiana na ukichwabuta!!!!!!
swali kikaoni,majibu mtandaoni!!
Mbona Zitto anaitwa kikaoni yeye anakimbilia mahakamani, atajibuje sasa tuhuma anazotaka aandikiwe. ama anahusiana na ukichwabuta!!!!!!
Akisema leo itaonekana ni frustration za kufukuzwa uanachama!Zitto angekuwa mzalendo angeyasema hayo kabla hajatimuliwa.
Amepotea kisiasa kiuraisi kabisa!Kifo ni kibaya sana jamani...Zitto anaonyesha dalili zote za kuelekea kuzimu!
Sasa hivi ataongea kila analojua akidhani itasaidia kumwokoa, too bad it is late this time.
Zitto amejibu zaidi hayo sema Mods wanayafuta amesema pia jinsi Mbowe alivyokuwa anachukuwa pesa kwa Rostam na Mkono.
Wao wamemwaga mboga yeye kamwaga ugali.