Zitto ataka wabunge wote walioko Dodoma wawekwe kwenye karantini

Kwani Ile michango tulioambiwa imechangwa nawasamalia wema wamesema inakwenda wapi? Maana madawa hayapulizwi mitaani vipimo bado sampuli zinapelekwa sehemu moja tu kwanchi nzima, Hali nitete
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa watu watu wabaya sana cheki walivyowagawa.
 
Wabunge wa Tanzania wengi ni wajinga sana jana pamoja na kwamba wanajifanya kusema bungeni hawajali kabisa jana nimekuta na mbunge eti anataka kunipa mkono yaani ananiamini kiasi gani mpaka anipe mkono.
Mungu mkubwa, alisikia ombi lako kuwa korona iingine Tanzania
 
Acha tufe tyuuh ndio tulichokitafuta now tumekipata. Acha tuoneshwe adabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni bajeti si ipite tu watu waondoke huko? kwanza ukimuuliza mwananchi wa kawaida hao wanafanya nini huko atakwambia hajui...
 
Chapeni kazi wabunge. Msitishwe

Covid-19 haihitaji kutisha mtu, it's there and it KILLS instantly!
Tayari mmoja ni victim na alikuwa ndani ya Bunge.......Wewe subiri wafanye upimaji wa Covid-19 kwa Wabunge Wote ndipo utajua kama huu ugonjwa ni wa kufanyiwa maskhara!
 
Wabunge wa Tanzania wengi ni wajinga sana jana pamoja na kwamba wanajifanya kusema bungeni hawajali kabisa jana nimekuta na mbunge eti anataka kunipa mkono yaani ananiamini kiasi gani mpaka anipe mkono.


Makada wa CCM hao wengi wanaamini mwenge utawamulika maadui kama huyu Corona
 
Huyo jamaa hawezi kuwa pekeyake,atakuwa na wenzie tu.wapimwe wote.


Corona itawapima wait and see , na wajifanye sikio lisilosikia dawa , wanafikiri huu ni uchaguzi unaweza kuleta figisu figisu au magoli ya mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…