Zitto ataka wabunge wote walioko Dodoma wawekwe kwenye karantini

Lema ndie alikuwa wa kwanza kutoa wazo la wabunge kupimwa kwa vile Mh Mbowe alitoka kwenye kujifungia

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo ni kasema nani? Maadamu hoja imetoka CHADEMA kwa MPINZANI hata kama hoja hiyo Ina mashiko namna gani LAZIMA ITUPWE NJE! Reason: Wapinzani watapata credits au umaarufu wa kuing'oa CCM madarakani! Akili mfu kabisa!!
 
Unaweza kukuta hiki kirusi kilitengenezwa na Bill gate! He is so obsessed na vaccination inayoendana na kupandikizwa microchip ya computer ili kufuatilia mienendo ya mahali mtu alipo!
Halafu wakishajua mtu kama mimi nipo pandagichiza wanafaidika na nini

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Job alivyo na afya mbovu ikimpata hafikishi siku 2 mbili chali,tunampeleka kongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulieni msiseme seme watastukia issue, nyie tulieni kimyaaa Corona iko nao bungeni tayari na watatia akili

Next time waafrika hasa watawala wa hii Jamhuri watajifunza kuheshimu mambo kama haya maana waliambiwa kitambo.
Kwanza wengi wao wagonjwa wa pressure na kisukari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wa Tanzania wengi ni wajinga sana jana pamoja na kwamba wanajifanya kusema bungeni hawajali kabisa jana nimekuta na mbunge eti anataka kunipa mkono yaani ananiamini kiasi gani mpaka anipe mkono.

sifa kubwa ili uwe mbunge ni kujua kusoma na kuandika mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila So far Corona anajizungusha sana, I Wish apige Kichwa cha muhimili mojawapo maana hii mihimili imejawa Kiburi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…