mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
H
M
Hawa ni wapuuzi tu, Magufuri amekuwa madarakani na Mbowe yupo nakama Magufuri angelitaka kumkamata Mbowe angelifanya hivo, Maana Magufuri alikuwa amwogopi Mtu yeyote.Mbowe kakamatwa na Samia na kufunguliwa mashitaka na Samia lawama zote kwa Magufuri, Mbona Samia alivoshika madaraka aliwaachia akina Lugemarila n Mashee wa uhamisho,na Mafisadi wengi waliokuwa wamekamatwa na Magufuri?Samia ahache uhuni,kumsingizia marehemu sio pow.Hivi Magufuli kama kwl ndy aliyekuwa na visasi?
Hivi mbowe kakamatwa wakati wa Magufuli?
Hivi wale uamsho walitolewa na nani mahabusu?
Na kama waliopo madarakani wanafata ya Magufuli kuna Mambo mangapi ya Magufuli ,, wameyageuka?
Walishindwa nn kutokumkamata mbowe na kumpa kesi ya ugaidi?
Mbowe amematwa na kupewa kesi ya ugaidi kila mtu anafahamu tatizo ni nn?
Tatizo ni kudai katiba mpya,,tena walisema wataitisha maandamano bila kikomo inchi nzima.
Hilo pia sababu ni Magufuli?
Ama kweli marehemu Hana haki..
Atasingiziwa kila kinachotokea hapa Tanzania.
Tuwache siasa za kinafiki,,tuwe wakweli.
Ifike kipindi ukweli usemwe na sio kumsingizia Magufuli kila kukicha..
M