Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

H
Hawa ni wapuuzi tu, Magufuri amekuwa madarakani na Mbowe yupo nakama Magufuri angelitaka kumkamata Mbowe angelifanya hivo, Maana Magufuri alikuwa amwogopi Mtu yeyote.Mbowe kakamatwa na Samia na kufunguliwa mashitaka na Samia lawama zote kwa Magufuri, Mbona Samia alivoshika madaraka aliwaachia akina Lugemarila n Mashee wa uhamisho,na Mafisadi wengi waliokuwa wamekamatwa na Magufuri?Samia ahache uhuni,kumsingizia marehemu sio pow.
M
 
Nimekuelewa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mambo yaliyopo mahakamani yataamriwa na Mahakama. Tusiingilie na kujadili masuala yaliyopo mahakamani.
 
Ukipenda boga penda na ua lake..ccm huipendi ila mwenyekiti wake ndio kipenzi chako..na unafaham fika huyu mpendwa wako ni mwajiriwa wa ccm..

Kwanini usimshauri arudishe kadi ya ccm kisha aende huko unapopataka ili umpende vizuri.

Nyie si ndio waumini wa mnachokiita taasisi imara..cant you operate your politics without the presence of mbowe..kwan hyo sio one man show.
 
Zito nae akili ameshikiliwa na ccm ya Jakaya!!
Nani alimfikisha mbowe mahakamani? JPM AU SAMIA?
 
Uchumi gani anaojenga huku mfumuko wa bei juu, simuelewi kabisa.
 
Ma ccm sasaiv yanataka kusukuma ubovu wao kwa Magifuri, ikiwemo ccm member Zitto!!
Hii ni trick ili ionekane wao ni wasafi na mchafu ni Magufuri..
 
Kama ni mwanakijani ni miongoni mwa mliokuwa waereu kuliko kundi la wanakijani walio wengi kama sii rundo🤔.Ni wachache Sana miongoni mwenu, vinginevyo umejinathibisha nao tu.
 
Ukweli ni kwamba Hawa wanasiasa uchwara wanamshambulia Magufuli kwa sababu bado ni tishio kwao anapambana nao yuko kaburini huyu jamaa alikuwa mwamba si mchezo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kitaalamu tunaiita MALALAMIKO KANTRI.
Wananchi wanalalamika TOZO, wananchi wanalalamika UMEME, wananchi wanalalamika MAJI, machinga wanalalamika biashara zao kuharibiwa na Rais analalamika anaangushiwa jumba bovu, nani wa kumfariji mwenzie katika nchi hii..Nchi ngumu sana hii

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
TODAYS anakodoa macho tu kama mjusi aliyebanwa na mlango, haamini jinsi legasi inavyopopolewa[emoji1787][emoji1787]
Mkuu tembo kapigwa risasi 31 December 2021 kafa January 2022.

👉🏾 Swali tembo kauwawa mwaka gani?.
 
Wakibadilishwa majina then ndio inaondoa ukweli Kwamba walikamatwa na utawala wa Magufuli?
Wakibadilishwa majina then ndio inaondoa ukweli Kwamba walikamatwa na utawala wa Magufuli?
Ok why DPP wa kipindi Cha magufuli hakufungua kesi mapema...magufuli aliamua kuachana na huo mtego wa kina kingai kesi haina ushahidi...lengo lao ilikuwa ni kuwabambikia kesi tofauti na hii iliyopo...so kwa nini majina yabadilishwe !!!
 
Sukuma GANG wamebaki serikalini, wamemuanguashia jumba bovu. Anashituka kachelewa.
Namchukia sana hiki kibibi cha kiarabu.
Wewe fulafula Kwani kila mwarabu anavaa ushungi wa kiislam ?!!!

MAKUNDUCHI na waarabu wapi na wapi?!!!

Huijui historia ya Afrika utayajuaye mambo nyeti ya nchi ?!!!
 
Comment ina MADINI haswaa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…