unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Hii "maneno" wakiona wale disciples wake wanafura ile ngumu!Hata miandiko yao tu utatambua wanaandika huku wanatetemeka kwa hasira.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa bado yuko kwenye matangaMama kasema atasimamia haki za wananchi. Nyie Pro Mwendakuzimu hata hamwelewi
🤔🤔🤔🤔🤔😝😝😝😝Ukiona marehemu anakusumbua. Jua Wewe ndo unaumia. Usisingizie disciples wala Jüngern. Hayati mlimpenda sana. Yani
Kwani wale Uamsho wameachiwa na nani?Huyu mpuuzi anataka rais aingilie uhuru wa mahakama!
Kama ulimpenda si umfuate kuzimu?Ukiona marehemu anakusumbua. Jua Wewe ndo unaumia. Usisingizie disciples wala Jüngern. Hayati mlimpenda sana. Yani
Huyu mwamba nyoko
Hujui hata maana ya Uhuru wa Mahakama kuingiliwa Kwa hiyo badala ya kujiaibisha ungekaa kimya tu. Inayofungua kesi ni Jamhuri (serikali) chini ya DPP na inaweza kuifuta kabla upande wa Utetezi haujaanza kujitetea kama wataona haina maslahi Kwa Taifa. Kuendelea nayo ni kwamba wanaona ina maslahi kwao au wanaona aibu kuachana nayo.Huyu mpuuzi anataka rais aingilie uhuru wa mahakama!
Kesi hii ni mpango wa Mungu kuimbua CCM na Serikali yake. Iendelee hivi hivi hadi tufike Mahakama ya Rufaa. Hadi sasa tumeshawajua wasiojulikana na mbinu zao za kipumbavu. Kumbe zile maiti zilizokuwa zinazagaa kwenye fukwe za bahari na mito ni watuhumiwa waliofia mikononi mwa wazee wa PGO. Wakiwa vituoni wanapewa majina bandia ili hata ndugu zao wakifika wasiwapate. Wacha iendelee tuzidi kuyajua mengi yaliyofichika.
Huyu asitafute huruma, hilo jumba bovu alikuwa halioni wakati ule akiwa makamu?. Uongozi ni kazi ngumu, kama imemshinda abwage manyanga tu kazi iendelee.
Anataka watoto wake tujue nini kinaendeleaMama kazingua lkn. Kwann analalamika badala ya kuchukua hatua??
Huyo mrundi naye kimeo sanaZitto ni. tatizo sana, ameshasahau kama aliwahi kubishana na MMM twitter kuhusu hii kesi akidai alipanga mipango miovu na Mbowe.
Mkuu wa Polisi na genge lake walieframe case ni zao la nani?Samia aliteua DPP wake ndio akamshtaki Mbowe kwa hii kesi, sio DPP wa Magufuli (Biswalo Mganga)
Sasa ni jumba bovu kivipi wakati DPP ni wa Samia?
Zitto kazi kujipendekeza kwa mbowe wakati wenye chadema hawampendi wala kumtakia wema wowote kwenye safari yao kuipinga ccm.
Sikiliza tena hotuba yake utafuta andiko lakoNimebadili nini ?
Sikiliza tena wakati hujalewa kangara utaelewa kuwa mnamwingiza maneno yenu kinywani kwakeMama kasema atasimamia haki za wananchi. Nyie Pro Mwendakuzimu hata hamwelewi
Jiwe alikuwa diktetaHuyu mama ni sehemu ya matukio yaliyofanyika awamu ya tano.Yeye alikuwa msaidizi wa JPM,labda akiri hadharani kwamba hakuwa anashirikishwa
.Tofauti na hayo aache kuiangushia lawama iliyopita.