Hivi Magufuli kama kwl ndy aliyekuwa na visasi?
Hivi mbowe kakamatwa wakati wa Magufuli?
Hivi wale uamsho walitolewa na nani mahabusu?
Na kama waliopo madarakani wanafata ya Magufuli kuna Mambo mangapi ya Magufuli ,, yameyageukwa?
Walishindwa nn kutokumkamata mbowe na kumpa kesi ya ugaidi?
Mbowe amematwa na kupewa kesi ya ugaidi kila mtu anafahamu tatizo ni nn?
Tatizo ni kudai katiba mpya,,tena walisema wataitisha maandamano bila kikomo inchi nzima.
Hilo pia sababu ni Magufuli?
Ama kweli marehemu Hana haki..
Atasingiziwa kila kinachotokea hapa Tanzania.
Tuwache siasa za kinafiki,,tuwe wakweli.
Ifike kipindi ukweli usemwe na sio kumsingizia Magufuli kila kukicha..