Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Samia ndio aliwakubalia lakini....angeweza kukataaMkuu wa Polisi na genge lake walieframe case ni zao la nani?
Rais Samia aondoe magugu yote na afute case hii dhalili kwa serikali yake na mazao yataonekana
Ndiyo hulka ya wanawakeMama kazingua lkn. Kwann analalamika badala ya kuchukua hatua??
Sukuma gang ndiyo waliandaa ujinga huu na kjmuingiza mkenge mama wa watu
Kilichomfanya Magufuli ahujumu vyama vya siasa na kudhibiti vyombo vya habari ni ili kuficha upigaji wake. Na ametupiga kweli kweli.Mama bora aweke wazi tujue. Magu alikuwa fisadi mkubwa sana ndo maana aliwanyamazisha wapinzani na vyombo vya habari kwa risasi
Jiwe alikuwa mwizi sana
Sukuma gang akina kakoko, kalemani ,Bashiru mbona waliondolewa chap wakaingia wataalamu Marope, nawiyeSukuma gang mpoo!
Ni Mpuuzi tu anayeamini kuwa anaweza kushindana na Chadema na akaishindaMama nakuhurumia kwa jinsi wanafiki walivokuzunguka ndani ya chama hukutakiwa kugombana na Chadema maana utajiongezea presha,,Chadema ilimpeleka puta Magufuli na udikteta wake mpaka akanyoosha mikono pamoja na matumizi makubwa ya vyombo vya dola..Chadema itakuumiza mama chagua kushirikiana nayo achana na Mbowe.
Mbowe ale mvua muhuniMh.Samia ebu jaribu kuvaa ujasiri,,,achana na akina Sirro wanakuchafua ni miongoni mwa watu wanaoamini mifumo dume,wanakupigia saluti kwa sababu ni sheria tu!!! Ila wanakudharau kama hulijui hili basi lijue,Mtoe ndg Mbowe Magereza na Ushirikiane nae atakusaidia mambo mengi!! Ni bingwa wa siasa za aina zote,,mbali na hilo utaendelea kulalamika usipate msaada ndani ya chama chako maana wamejaa wanafiki ndo hao unaosema wanakuangushia jumba bovu,,,amini mwanzoni ulikuwa umejipatia mtaji mkubwa wa kisiasa kutoka kwa mashabiki wa upinzani hasa chadema ,,wahuni ndani ya chama chako wakatafuta mbinu ya kukunyang'anya mtaji huo wakamkamata Mbowe ili uchukiwe na wameelekea kufanikiwa,,,ebu shtuka mama!! Wapinzani ndo walikuja na kauli mbiu ya "MAMA ANAUPIGA MWINGI" Jiulize toka akamatwe Mbowe neno hilo unalisikia!!!? Wahuni wanataka wakugombanishe na kila kundi ..Usiogope maneno kama katiba mpya kutana na wapinzani myajenge.....Mama nakuhurumia kwa jinsi wanafiki walivokuzunguka ndani ya chama hukutakiwa kugombana na Chadema maana utajiongezea presha,,Chadema ilimpeleka puta Magufuli na udikteta wake mpaka akanyoosha mikono pamoja na matumizi makubwa ya vyombo vya dola..Chadema itakuumiza mama chagua kushirikiana nayo achana na Mbowe.
Mh.Samia ebu jaribu kuvaa ujasiri,,,achana na akina Sirro wanakuchafua ni miongoni mwa watu wanaoamini mifumo dume,wanakupigia saluti kwa sababu ni sheria tu!!! Ila wanakudharau kama hulijui hili basi lijue,Mtoe ndg Mbowe Magereza na Ushirikiane nae atakusaidia mambo mengi!! Ni bingwa wa siasa za aina zote,,mbali na hilo utaendelea kulalamika usipate msaada ndani ya chama chako maana wamejaa wanafiki ndo hao unaosema wanakuangushia jumba bovu,,,amini mwanzoni ulikuwa umejipatia mtaji mkubwa wa kisiasa kutoka kwa mashabiki wa upinzani hasa chadema ,,wahuni ndani ya chama chako wakatafuta mbinu ya kukunyang'anya mtaji huo wakamkamata Mbowe ili uchukiwe na wameelekea kufanikiwa,,,ebu shtuka mama!! Wapinzani ndo walikuja na kauli mbiu ya "MAMA ANAUPIGA MWINGI" Jiulize toka akamatwe Mbowe neno hilo unalisikia!!!? Wahuni wanataka wakugombanishe na kila kundi ..Usiogope maneno kama katiba mpya kutana na wapinzani myajenge.....Mama nakuhurumia kwa jinsi wanafiki walivokuzunguka ndani ya chama hukutakiwa kugombana na Chadema maana utajiongezea presha,,Chadema ilimpeleka puta Magufuli na udikteta wake mpaka akanyoosha mikono pamoja na matumizi makubwa ya vyombo vya dola..Chadema itakuumiza mama chagua kushirikiana nayo achana na Mbowe.
Sasahivi kila baya la Magufuri, wakati alivyoingia tu akaanza kupanga safu wote waliokuwa wasaidizi wa Magufuri aliwatoa na kuweka wakwake,eti Sasahivi analalamika,mpuuzi sana huyu MamaSamia aliteua DPP wake ndio akamshtaki Mbowe kwa hii kesi, sio DPP wa Magufuli (Biswalo Mganga)
Sasa ni jumba bovu kivipi wakati DPP ni wa Samia?
Umeshauri vyema sanaNi Mpuuzi tu anayeamini kuwa anaweza kushindana na Chadema na akaishinda